Sitaki kuitwa nabii kwa hili

Sitaki kuitwa nabii kwa hili

Mbona Membe alishatangaza kuwa hagombei ubunge tena? Sasa huo uwaziri mkuu ataupataje?


Ataupata kwa sababu ccm wamebadilisha mbinu,kwamba wazuri mkuu sio tena kiongozi wa wabunge,kwa hiyo atateuliwa hata kama hana madaraka yoyote..
 
Nabii mimi nakupinga,mimi nakuambia waziri mkuu ajaye ni Dr.Asha Rose Migiro.hutaki unaacha.

Nakapanya sawa,ila kwenye sera ya ccm ya 50/50 wanategemea kuwa na mawaziri wengi wakike,na kiongozi wao zidhani kama anaweza kuwa mwanamke.. itaku 70/30 sasa,ila haya nimtazamo wetu sote,tusubiri tuone,sitaki itwa nabii kwa hili..
 
Mkuu swala lako laweza kuwa la kweli . Mzee John Pombe Magufuri lazima Aibebe familia ya Mafisadi pamoja na familia ya Kikwete

Sawa..ila naomba niku sahihishe,ukisema familia ya mafisadi unakuwa umemaliza kila kitu,coz familia ya kikwete yenyewe ni mafisadi,magufuli ata tushangaza..
 
Me nnaona mifumo ya kuwapata wawakilishi katika vyama hasa CCM sio mfumo mzuri unaoweza kupata kiongozi huru ,lazima abebwe tu sasa katika utendaji ndipo linapoibuka hili la kulipa fadhila(asante)...

Tena watapeana wao kwa wao bila ya kuzingatia utaratibu ,hata vyeo watagawana wao kwa wao na ikitokea pana ubadhirifu kwa mmoja kati yao watalindana kwa kuzingatia maslahi yao na sio ya taifa kwa ujumla ..

Ushauri wa aliekuwa mjumbe wa Bunge la katiba bwana Paul Makonda ambae kwa sasa ni mkuu wa wilaya kuhusu bi Samia Sulum ni mfano mmojawapo..
 
Tanzania inao MANABII wengi wa UONGO waliosemwa na Bwana Yesu Kristo.

Wapo manabii wengi wa uongo waliotabiri kwamba LAZIMA Lowassa atakuwa Rais wa JMT.

Tena wengine wakaenda mbali kwa kujiapiza kwamba kama Lowassa asipokuwa Rais wa JMT basi tuwatafute popote pale walipo tuwauwe.

Mimi nikajiuliza kama wanaamini UNABII wao, kwanini watupe taabu yote ya kuwatafuta ili tuwauwe, kwanini WASIJIUE wenyewe kuturahisishia kazi?

Halafu pia wanatuweka kwenye mtego wa kutenda jinai, kwani kwa mjibu wa sheria za JMT KUUA MTU kwasababu yeyote ile ni kosa la JINAI.
Ndio maana tunataka mabadiliko.
Nakumbuka JK alipokuwa nataka kutaja jina la waziri mkuu watu wote walijua ni EL na ikawa, sote tumeona.
Ndio maana wakati wenzetu wanaamua kutumia akili zao walizopewa na Mungu alafu unabii wa kwenye Vitabu uwe kama msaada tu kuna waliowashanga lakini sasa wamepiga hatua kubwa kifikra na kimwili.
Hebu tumieni akili zenu sasa badala ya kutegemea unabii tena unabii wenyewe wa kitanzania.
Leta mabadiliko, ondoa ccm!

 
membe katangaza kutogombea ubunge wala hataki ubunge wa kuteuliwa endapo atakosa nafasi ya urais, sasa uwaziri mkuu huo anaupataje?
 
............gazeti la mtanzania mwezi wa kwanza lili sema magufuli ndo raisi,na paul makonda kwenye bunge la katiba alisema samia hassani ndo atakuwa makamu rais,.........................
asante..
team jamiiforum
Ina maana Hawa jamaa walim-delete Lowasa siku nyingiiiii. Angalia vijana wadogo akina makonda walikuwa wanajuwa kinachoendelea ndani ya TISS lakini EL hajui? Walimtoa nje ya system zamani mzee wa watu! Hapa inabidi Mamvi awe mpole akikumbushwa haya mambo na akihama chama anaweza kufanywa kitu mbaya.
 
Membe atakuwa vp Waziri mkuu keshasema hatogombea ubunge jimboni kwake?
Siyo kwamba naunga mkono hoja hii ila nafafanua tuu. Uwezekano wa kuwa PM upo hata kama hatagombea ubunge, rais ana mamlaka kikatiba kuteuwa wabunge kumi kama alivyofanya kwa Muhongo akawa waziri, Migiro akawa waziri nk nk.
 
Mimi bwana sitaki kuitwa nabii kwa hili kwa sababu nadhani kutokana na uongozi wa kifamilia,na tunaowaita wazee wa ccm wakati wa kutuchagulia rais,ila wakati taifa lina ingia mikataba mibovu tuna sahau kuna watu wazima kwa sababu mafungu ya chai yanafika...Sasa kutokana na hila za wazee kumkata jaji,na jua fika na nasema fika Bernard membe,baba yake mdogo na ridhiwani na mdogo wake j.kikwete ndie waziri mkuu anae fata....gazeti la mtanzania mwezi wa kwanza lili sema magufuli ndo raisi,na paul makonda kwenye bunge la katiba alisema samia hassani ndo atakuwa makamu rais,na mimi na sema benard membe waziri mkuu iwapo serikali ya familia ya kikwete tanzania itapita..
asante..
team jamiiforum



Maadamu Mungu wetu ni mwingi wa Rehema na usikia maombi ya wenye haki hasa wakiomba kwa bidii vivyo basi atatupa mtu ambaye ni kusudi lake...... lakini yoyote mwenye nia ya kuiagawa nchi yetu kwa misingi ya kidini na kikabila hataiongoza nchi hiiiiiiii.
 
Na juzi ccm wametangaza waziri mkuu sio kiongozi wa wabunge wa ccm,kwa sababu anaweza teuliwa bila ubunge,katiba ya ccm mzee..
 
Siyo kwamba naunga mkono hoja hii ila nafafanua tuu. Uwezekano wa kuwa PM upo hata kama hatagombea ubunge, rais ana mamlaka kikatiba kuteuwa wabunge kumi kama alivyofanya kwa Muhongo akawa waziri, Migiro akawa waziri nk nk.


Na juzi ccm wametangaza waziri mkuu sio kiongozi wa wabunge wa ccm,kwa sababu anaweza teuliwa bila ubunge,katiba ya ccm mzee..
 
Back
Top Bottom