farajakwangu
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 1,942
- 701
Hilo nikweli, dini ni kitu kinachoweza kuisha natusijejua kama kulikuwepo dini, Na kwa sababu ya masrahi ndio maana tunaona maaskofu Na wachungaji wamekuwa Wa kwanza kutenda maovu katka jamii Na wanakuwa Wa kwanza kusema uongo nk,dini ni uongo unaoelekea kupitwa na wakati...