Taarifa yenyewe sasa:
SERAKALI İnalaani (sisi tunasubiri tamko la Serikali, sio serakali) kweli Zenji ni Sera Kali (Radical Policy) ahsante Charles kwa kutuelewesha
Aidha, Serikali ANAWAHIMIZA…. Huyo serikali ni nani? Ni mtu?
Duh! Ndio Press namba 1 ya nchi hii 🏃🏾🏃🏾🏃🏾
Hujui kama ni video ya 2016 ile, utakuja kuolewa kwa nyuma kujifanya unajua mambo ili kuharibu tu hali ya hewa. Shangazi mzima hovyooo! Kabadili taulo huko chini ukalale, waache genius wa JF wa chat
Nimeona maandiko kadhaa yenye kumsifu aliyekuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Salvatory Mabeyo baada ya mahojiano yake ya video na Daily News Digital kuhusu namna alivyo-play role yake katika dakika za majeruhi za uhai wa Rais wa Awamu ya Tano, Dkt. John Pombe Magufuli...
Postgraduate Diploma (PGD) ni daraja la kubadili fani. Mathalani umesoma Bachelor Degree ya Utawala na ungependa kuingia katika tasnia ya Fedha na Uhasibu, basi utasoma PGD ya Fedha/Uhasibu ambayo itakupa vigezo vya:
Kujiendeleza kimasomo (Master’s Degree nk) katika fani ya Uhasibu/Fedha; au...
Nilikutana na kujenga mazoea na mwanamke wa makamo. Tuliendelea kuwasiliana kwa muda mrefu hadi siku tuliyobahatika kukutana tena sehemu ileile na kuniomba nimrekebishie kitu katika simu yake.
Nilipoishika, kama kawaida ya wengi, kisirisiri nilitembelea gallery yake ya picha kwa haraka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.