Recent content by GJanga

  1. G

    Natafuta mtu mwenye ujuzi wa Uokaji (Baker)

    0716581388 anaitwa elia
  2. G

    Natafuta mtu mwenye ujuzi wa Uokaji (Baker)

    Kuna MTU anaudhoefu Huo Wa muda mrefu..ila yupo DSM sasa sijajua we upo wapi?
  3. G

    Waliotakiwa Ku ripoti Makao makuu-TRA Mara baada ya Kukwarua Ajira zilizokua na Ushindani Mkubwa

    Hahaha...wambieni.wengi wao ndo kwanza wanatoka vyuo bado wanawengewenge na kazi..sa hiyo gross ya 960k net ni 800k.kwa DSM ukifanya kazi yenye net chini ya walau 1mio,ni mateso makali mno.hutatamani hata kukaa ukisema eti nipo tra mana watu watakuwa wanakung'ong'a tu...bora mkubali mikoani...
  4. G

    Ushauri wa bure kwa mliokosa kazi TRA

    Unaruhusiwa kumiliki Mali Tena hata zaidi ya hayo Magari 16 lakini lazima u-justify kipato chako na hzo Mali kama vinaendana..
  5. G

    Ushauri wa bure kwa mliokosa kazi TRA

    Sa Magari 16 utaacha kwenda gerezani wakati mshahara ni 1.2mio?
  6. G

    Kuhusu walio chaguliwa nafas za kazi TRA hivi karibuni

    Unaweza kuprove vipi kwetu kuwa hukushikwa mkono..hiyo ibaki kuwa siri yako bana usituaminishe kuwa umepata Vila kumjua mtu
  7. G

    Ushauri wa bure kwa mliokosa kazi TRA

    HV unadhani kam sio dili za tra watu wangekuwa wanapakimbilia? Kwa taarifa yako ingekuwa ni mshahara tu watu wangepapa kisogo kitaambo coz had I ufikie mshahara Wa 4m tra ujue ulishafnya kazi sio chini ya miaka kumi na tano...wakati kwenye taasisi binafsi kibao Huo ni mshahara Wa kawaida...
  8. G

    Ushauri wa bure kwa mliokosa kazi TRA

    Tatizo watu wamekariri enzi za JK...HV unadhani kwann watu kibao wameondoka tra.kama una qualification zako lazima uchomoke hakuna janjajanja Tena.watu Wa magogoni kibao wamewekwa kila kona kuchunguza janjajanja..wale mtakao enda na perception ya kutoka harakaharaka subirini kwenda jela shortly
  9. G

    Ushauri wa bure kwa mliokosa kazi TRA

    Jamaa alikataa offer ya tra mwaka Jana ilikuwa kama 800 hvi..sema watu wengi wamekariri ile tra ya enzi za analogy unapiga Pesa njenje..hii ya sasa hv ya digital ni kama mwalimu..lengo ni Ku standardize sector zote za serikali..
  10. G

    KAZI: Msimamizi wa Harusi anahitajika

    Huo ni urefu Wa sehemu gani?
  11. G

    niende tra au nifanyaje wakuu?

    Kama suala dogo kma Hili unashindwa kujisimamia mwenyewe utakuwa hujitambui..me sina ushauri kwa MTU kama huyu..
  12. G

    Japo nimekosa kazi TRA lakini ningependa kuwashauri mambo kadhaa Utumishi

    Hizo interview zilikuwa na vituko..kuna Mzee mmoja alikuwa kama na miak 55 HV afu Naye alikuja kwa interview..yani wale wasaili ilikuwa haiwangii akilini kbss kama yule Mzee hajazidi 45. Yani inabidi wakati mwingine tujifunze kuachana na haya maswala ya kuajiriwa vunginevyo nia aibu mtoto...
  13. G

    Sekretarieti ya Ajira Nasubiri Majina ya kupangiwa kazi TRA Niweze Kulinganisha na Picha za Majina mliokua mmebandikwa.

    Yani ndomana wabongo hatutaweza kuendelea..eti kwa sababbu MTU kapata then hataki hta kusikia kama kuna watu wamechomekwa kibaooo..sasa hao watu tuliowapatia ambao wamepata afu hawako kwenye kuitwa kwa interview ya awali wametoka wapi? We are so selfish ndomana hatuwezi kupigania hata maslahi ya...
  14. G

    Sekretarieti ya Ajira Nasubiri Majina ya kupangiwa kazi TRA Niweze Kulinganisha na Picha za Majina mliokua mmebandikwa.

    Chukua sample hii kisha compare na list ya awali ya majina ya walioitwa kwenye usaili kikanda then utakubaliana nami kuwa baadhi ya majina yamechomekwa au ndo kanzidata????...Irene Jackson Tairo,Flora Erasto,Martha Raymond Mlwilo.ukicheki wote wameitwa kazini
Back
Top Bottom