radicals
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 4,412
- 6,447
na wewe uliyemrekebisha mwenzio umekosea, sio custom officer ni customs officerCustomer Officer-Custom Officer

Nyani haoni kundule, nimeona nimkaushie tuna wewe uliyemrekebisha mwenzio umekosea, sio custom officer ni customs officer
Sidhani kama inaweza kuwa moja ya sababu lakini ilipaswa umwambie hiviMi naona umekosa ajira kwa kutumia "desipite of".....
Futa Haya Maneno Mkuu Ni Kosa ndani ya JamiiForums kumuita mwenzio Mjusi.Nyani haoni kundule, nimeona nimkaushie tu huyo mjusi
Mkuu niongezee kwa kusema tu mchakato haukuwa huru na wa haki watu walikuwa na maswali kuanzia written mpaka oral binafsi ningeshauri mchakato urudiweNilikuwa miongoni mwa vijana tuliobahatika kufanya oral ya custom officer ii pale utumishi 27/09/2017,ukiniuliza kwa nini sijapata kazi,kwa harakaharaka nitakujibu tu kuwa huenda sina bahati kwa sababu nilichokijibu kwenye ile interview sidhani kama kina tofauti kubwa na hawa wenzangu waliopata kazi.so despite of all odds,ningependa kutumia fursa hii kuwashauri utumishi mabo kadhaa ambayo nadhani ni bora wakayafanyia kazi ili kuondoa sintofahamu miongoni mwa watanzania wengi nikiwemo na mimi pia.
1. Nawashauri utumishi wawe wanatoa kwanza marks za watu walizopata kwenye oral kabla ya kuwaita kazini wale watakaokua wamepata marks za juu kuliko wengine,sasa hivi mtu unashangaa hujaitwa kazini halafu ukikumbuka unaona kuwa ulifanya vizuri tu ile interview,so ili kondoa utata huo wawe wanarelease marks za wadau kwanza kama wanavyofanyaga kwenye written ili mtu aone alichokipata.
2. Wakiona namba moj haifai,basi waweke utaratibu wa kuwajulisha wale watakaokua wamewaweka kwenye data base zao kuwa wamefaulu but kwa sasa wamewaweka kwenye data base kwanza ili nafasi ikitokea waweze kupewa wao kwanza,utaratibu unaotumika sasa ni wa hovyo na unaleta malalamiko coz ni rahisi kwa wao kupachika mtu wao kwa kigezo cha kwamba alikua kwenye database.
3. Rushwa na vimemo vimetawala utumishi,ingawa Raisi anapigana usiku na mchana kujaribu kuondoa huu uozo lakini utumishi bado kuna wafanyakazi wasiokua waaminifu wanachukua rushwa ili kuwapatia ajira watu,kwenye suala la vimemo ndio usipime,kuna mtu namfahamu hakuomba hata hizi kazi,lakin nashangaa jina lake naliona na mbaya zaidi sasa hivi tunavyoongea yuko uingereza,sasa sijui hiyo kazi atafanyia huko uingereza au atarudi.
4. Jaribuni kufanya interview in a proffesional way,binafsi nilifanyia usaili wangu pale chumba namba tano,na niseme tu kuna mzee mmoja alikua kwenye ile panel sijui hata utumishi walimuokotea wapi yule mtu, anaonekana ni mzee ambae ana stress za maisha kwa wale ambao hamkuingia kwenye panel yetu mnaeza mkamkubuka.
Siku ile tunafanya oral ya custom ile asubuhi wakati tunaitwa majina yeye ndiye alikua anatoa matangazo,akawa anafokea watu hovyo,so imagine mtu uko kwenye chumba cha usaili yeye anakufokea eti kisa umechelewa kutoa vyeti nilimshangaa sana nikjisemea utumishi wanatoa wapi watu wa aina hii.
So utumishi jaribuni kuweka watu wa maana kwenye panel zenu achaneni na watu wenye stress za kustaafu kama yule mzee.
Mwisho nawatakia kila la heri wote mliobahatika kupata kazi tra,sisi ngoja tusubirie za makatibu kata huko labda ndio tunaweza kupata.
Haya maswali yalishavuja kabla ya interview unashindwaje kutiririka?Jamaa alikuwa amemeza material
Apana si kweliMi najua mara nyingi kuita watu interview ni kukamilisha tu utaratibu, watu wanakuwepo tayari pole.
Maryam Silas malipulaMkuu ungetoa jina la huyo wa uingereza tukomeshe huu uhuni hata hivyo toka mwanzo nilisema mchakato huu umegubikwa na kila harufu ya rushwa
Hiyo kuhusu kujibu aiseee! Nimesoma #1
Watafute wakupe sababu, hii kitu inaruhusiwa duniani ili uweze kujipanga vizuri. Kwa kujifananyisha na wengine kihivyo sishangai why umekosa kazi.. mengine endelea kuyasoma mwenyewe.. hayo tu ni kama CV nimeitupa tayari kwenye bin.
Umeandika nini hichi hakieleweki
Sijui haujaelewa au ni kujifanya hauelewiKumbe Ukifeli form six huajiriki. Asante kwa taarifa
Apana - hapanaApana si kweli
Huyu mariam silas malipula unamfahamu vizuri au umeamua kuchafuahata interview hakufanya Nina majina ya kada zote jina lake sijaliona
Haya malalamiko watumie utumishi moja kw moja.Nilikuwa miongoni mwa vijana tuliobahatika kufanya oral ya custom officer ii pale utumishi 27/09/2017,ukiniuliza kwa nini sijapata kazi,kwa harakaharaka nitakujibu tu kuwa huenda sina bahati kwa sababu nilichokijibu kwenye ile interview sidhani kama kina tofauti kubwa na hawa wenzangu waliopata kazi.so despite of all odds,ningependa kutumia fursa hii kuwashauri utumishi mabo kadhaa ambayo nadhani ni bora wakayafanyia kazi ili kuondoa sintofahamu miongoni mwa watanzania wengi nikiwemo na mimi pia.
1. Nawashauri utumishi wawe wanatoa kwanza marks za watu walizopata kwenye oral kabla ya kuwaita kazini wale watakaokua wamepata marks za juu kuliko wengine,sasa hivi mtu unashangaa hujaitwa kazini halafu ukikumbuka unaona kuwa ulifanya vizuri tu ile interview,so ili kondoa utata huo wawe wanarelease marks za wadau kwanza kama wanavyofanyaga kwenye written ili mtu aone alichokipata.
2. Wakiona namba moj haifai,basi waweke utaratibu wa kuwajulisha wale watakaokua wamewaweka kwenye data base zao kuwa wamefaulu but kwa sasa wamewaweka kwenye data base kwanza ili nafasi ikitokea waweze kupewa wao kwanza,utaratibu unaotumika sasa ni wa hovyo na unaleta malalamiko coz ni rahisi kwa wao kupachika mtu wao kwa kigezo cha kwamba alikua kwenye database.
3. Rushwa na vimemo vimetawala utumishi,ingawa Raisi anapigana usiku na mchana kujaribu kuondoa huu uozo lakini utumishi bado kuna wafanyakazi wasiokua waaminifu wanachukua rushwa ili kuwapatia ajira watu,kwenye suala la vimemo ndio usipime,kuna mtu namfahamu hakuomba hata hizi kazi,lakin nashangaa jina lake naliona na mbaya zaidi sasa hivi tunavyoongea yuko uingereza,sasa sijui hiyo kazi atafanyia huko uingereza au atarudi.
4. Jaribuni kufanya interview in a proffesional way,binafsi nilifanyia usaili wangu pale chumba namba tano,na niseme tu kuna mzee mmoja alikua kwenye ile panel sijui hata utumishi walimuokotea wapi yule mtu, anaonekana ni mzee ambae ana stress za maisha kwa wale ambao hamkuingia kwenye panel yetu mnaeza mkamkubuka.
Siku ile tunafanya oral ya custom ile asubuhi wakati tunaitwa majina yeye ndiye alikua anatoa matangazo,akawa anafokea watu hovyo,so imagine mtu uko kwenye chumba cha usaili yeye anakufokea eti kisa umechelewa kutoa vyeti nilimshangaa sana nikjisemea utumishi wanatoa wapi watu wa aina hii.
So utumishi jaribuni kuweka watu wa maana kwenye panel zenu achaneni na watu wenye stress za kustaafu kama yule mzee.
Mwisho nawatakia kila la heri wote mliobahatika kupata kazi tra,sisi ngoja tusubirie za makatibu kata huko labda ndio tunaweza kupata.
Nina hakika humfahamu vizuri na unaenda kisa la jinai la mitandaoni fanya uchunguzi wa kina ndiyo utoe taarifa sahihi angalia usijeingia kwenye matatizo kwa ushauri wangu naiomba umutake radhi na ufute kauli yakoHuyu mariam silas malipula unamfahamu vizuri au umeamua kuchafua