Kuhusu walio chaguliwa nafas za kazi TRA hivi karibuni

hivi kumbe haya mambo ya kubebana yaliyokua yanasemwa na wadau humu yapo kweli huko utumishi?
lakini mbona sisi wengine tumepata pasipokumjua mtu yeyote?
Yes hata mie nilipata bila kujuana na mtu so nilijua atapita,bt may be hakutimiza vigezo,
 
hivi kumbe haya mambo ya kubebana yaliyokua yanasemwa na wadau humu yapo kweli huko utumishi?
lakini mbona sisi wengine tumepata pasipokumjua mtu yeyote?
nyie ndo tunawaita wenye bahati zenu
 
Ww unaeza shindana na watoto wa vigogo,mawaziri na makatibu?mtoto wa shule za kata anapambanishwa na watoto wa wakuu wa nchi,kazi ipo.Labda Mungu aingilie kati
 
hakukua na haja ya kutuchosha sasa,wangepigiana tu simu huko wapeane kimya kimya..
 
na inasikitisha zaidi, kuna watu walitoka mikoa ya mbali kama kigoma, gharama za nauli, accomodation hapa dar, nk
 
No,ila nina baby boy 1,nishavishwa pete ya uchumba and soon will get married to the father of my baby

kwa hio ww kwa kua umefanikiwa na mambo yako yanaenda safi,umesahau wenzako?mafanikio yako hapa duniani yatatokana na watu uliowasaidia ukachange maisha yao.ukiwa kweny nafasi na ukaona mtu ana shida msaidie.
Do not reject anybody for his/her current weakness becoz future is mystery!...
 
Vijana bwana...huwa mnakua na matarajio makubwa ya kuingia serikalini mkijua ndo kwenye mafanikio while mambow yalivyo sio kama hivyo mnavyofikiria

watie moyo vijana,kesho watakua na maisha bora tu ndugu,hata km mambo yao hayapo vizuri leo,saidia watu!..usimkejeli mtu alie kweny shida!..
 
Unaweza kuprove vipi kwetu kuwa hukushikwa mkono..hiyo ibaki kuwa siri yako bana usituaminishe kuwa umepata Vila kumjua mtu
 
Ina maana wote hamjagundua huyu mleta maada ni mastermind tu.Anasema mshikaji wake aliitwa oral akapiga fresh akamjulisha kisha kwenye written hakutoboa.

Inawezekana vp mtu achomoke oral halafu achemke written? Yaani ni sawa na kusema mtu apige fresh paper ya form six halafu aje kukwama form 4
 
wewe ndio hujamuelewa
 
duh!
 
Back
Top Bottom