niende tra au nifanyaje wakuu?

niende tra au nifanyaje wakuu?

Status
Not open for further replies.
police hawa wa Tanzania wenye kupokea rushwa na wasiojua kusoma wala kuandika wana uwezo wa kumfanyia mtu vetting mkuu,au unazungumzia police wa huko duniani?

unadhani ni hao polisi unaowaona mtaani? huku hata TIS wanatumika
 
acha wivu wa kike..
Yaani ndio akili yako ilipo kutuma?

Kwamba tafsiri ya hiyo comment yangu hapo mimi nna kuonea wivu!!?

Ndio maana nikasema interview walipoita ilikuwa ni zari tu kama reasoning yenyewe ya waliopita ndio kama hii.
 
TRA kufukuzwa nje nje,kuna jamaa yetu alikuwa tra mtukula alifukuzwa kazi kwa fitna akafungua kesi sijui iliishia wapi ila akapata kazi Aghakan Mtwara.Siku hizi sijui yuko wapi
Hapa tra muwe makini sana.

Kifukuzwa ni kugusa.

Wekeni lengo la kufanya kazi kwa uaminifu.

Deal serikalini zimebana.
 
Si bora usingeomba pengine nafasi yako ningepata mimi jamani kweli mwenye nacho na ataongezewa
Yani huyu Mkuu amenipanikisha.
nikijiangalia mm sina hata kazi moja...
kweli mwenye nacho ataongezewa, asie nacho atanyimwa kabisa"
Huyu nae ni miongoni mwa waliopata kazi TRA????????

Kumbe kweli kupita kwenye ile interview ilikuwa ni zari tu na sio vinginevyo.
 
Tatizo kampuni binafsi kufukuzwa nje nje tofauti na serikali.

Ulifanya interview ya nini ikiwa ulikua huna shida nayo nyie ndiyo mnazibia wenzenu nafasi.
Hapana TRA kufukuzwa rahisi kwa taarifa yako kuliko binafsi.
 
Wakati unaomba kazi na kufanya interview ulikuwa hujafanya maamuzi? Kama unaamini katika kuajiriwa na kufanikiwa kupitia ajira ya serikali nenda TRA.Kama unaamini kwenye kujiajiri,achana na TRA endelea na wachina,weka malengo na pambana kuhakikisha yanafanikiwa.Kama unapenda bata na kuendesha magari na mademu nenda TRA.
Word...
 
Kama suala dogo kma Hili unashindwa kujisimamia mwenyewe utakuwa hujitambui..me sina ushauri kwa MTU kama huyu..
 
ndio maana kuna ushauri niliutoa jana kwa wale waliokosa kazi tra wasisononeke sana,kuna batches kibao zinakuja,kuna watu kama huyu hawataenda kureport kwenye vituo vyao na pia kila uchwao tra watu wanatimuliwa kazi ,so nafasi zipo za kutosha
 
KWA KIFUPI NI HIVI: KAMA WEWE NI MUOGA WA MAISHA KAMA MIMI NENDA TRA KAFANYE KAZI KWA UAMINIFU, KUNA JOB SECURITY, ILA KAMA UNATAKA UTAJIRI WA HARAKA HARAKA TRA KWA SASA HAPAFAI. MIEZI 6 UTAFUKUZWA HASA HIKI KIPINDI CHA DOKTA MAGU. ILA KAMA UNATAKA KUWA NA PESA NYINGI NAKUSHAURI BAKI KWA WACHINA, WACHINA WAKIKUAMINI KUKUFUKUZA KAZI NI NGUMU MNO LABDA UIBE KUPITILIZA.
Ndugu yangu kuajiriwa serikalini ni utumwa, tumia vizuri hiyo experience ya vipuri vya magari na hao wachina, one day you will be a big boss ukiwa na duka lako la vipuri. . Wakikupangia Dar, Piga kazi TRA hakitaharibika kitu ila wakikupangia Boda Tunduma, au Namanga achana nao.

UOGA WAKO NDIO UMASIKINI WAKO.
 
Baki kwa wachina tu mkuu...TRA achana nako japo nako kuzuri kiasi
 
Endelea na kazi yako hapo ulipo weka malengo pata mtaji fungua duka lako kisha huku ukiendelea kufanya kazi hapo kuajiriwa na serikali ni mzungu mkuku
 
Nenda mkuu but piga kaz kwa malengo..after sometime unaachana nawoo unaendelea na life lako
 
Kwani ukilinganisha salary ya TRA na unayolipwa ipi kubwa?.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom