KAZI: Msimamizi wa Harusi anahitajika

KAZI: Msimamizi wa Harusi anahitajika

Wakuu,

Kuna ndugu yangu anategemea kufunga harusi mwezi wa kumi na moja, imekuwa changamoto kidogo kwa upande wake kupata mtu wa kumsimamia harusi. Kwani amekuwa akipata mtu either dhehebu tofauti au anakuwa mfupi hivyo tumeona iwe fursa kwa mwenye vigezo.

VIGEZO
- Awe mrefu, asipungua cm 170
- Awe anasali RC
- Awe ameoa

MALIPO
- Atapewa suti nzuri, yenye kiwango cha juu na mke wake atatafutiwa nguo nzuri (atachagua yeye)
- Laki na nusu na mke wake laki na nusu

Kwa aliye tayari anitumie sms inbox wakuu

Asanteni sana
Niko hapa nimetoka funga ndoa juzi, ni RC Nina urefu huo
 
Siku hizi kuna tenda nyingi, mara za kusuta watu, kuosha miili ya marehemu, kulia msibani na hii tena kusimamia harusi
 
Wakuu,

Kuna ndugu yangu anategemea kufunga harusi mwezi wa kumi na moja, imekuwa changamoto kidogo kwa upande wake kupata mtu wa kumsimamia harusi. Kwani amekuwa akipata mtu either dhehebu tofauti au anakuwa mfupi hivyo tumeona iwe fursa kwa mwenye vigezo.

VIGEZO
- Awe mrefu, asipungua cm 170
- Awe anasali RC
- Awe ameoa

MALIPO
- Atapewa suti nzuri, yenye kiwango cha juu na mke wake atatafutiwa nguo nzuri (atachagua yeye)
- Laki na nusu na mke wake laki na nusu

Kwa aliye tayari anitumie sms inbox wakuu

DEAL DONE!!!
Pia mkumbuke kuwalipia ZAKA ZA MWAKA HUU KAMA HAWALIPA
 
Back
Top Bottom