Recent content by gize

  1. gize

    Mabingwa wa kufanya utafiti waandaliwa kupika tafiti za Kuibeba CCM kuelekea Uchaguzi

    BY SHEILA MBAGA...........Sheila Mbaga is offline Sheila Mbaga Join Date : 27th February 2015 Default Re: Taarifa sahihi kuhusu ulinzi wa Dk. WillibrodSlaa dhidi ya upotoshwaji unaoenezwa Ukweli wa Mauaaji haya hapa: Membe, Gotham na Ridhiwani wahusishwa Ni kwa kipindi chamuda mrefu...
  2. gize

    Marekani yang'aka, Escrow ngoma bado mbichi

    BY SHEILA MBAGA.................Sheila Mbaga is offline Sheila Mbaga Join Date : 27th February 2015 Default Re: Taarifa sahihi kuhusu ulinzi wa Dk. WillibrodSlaa dhidi ya upotoshwaji unaoenezwa Ukweli wa Mauaaji haya hapa: Membe, Gotham na Ridhiwani wahusishwa Ni kwa kipindi chamuda...
  3. gize

    Hivi ziara hizi za Kinana zina tija?

    BY SHEILA MBAGA..................Sheila Mbaga is offline Sheila Mbaga Join Date : 27th February 2015 Default Re: Taarifa sahihi kuhusu ulinzi wa Dk. WillibrodSlaa dhidi ya upotoshwaji unaoenezwa Ukweli wa Mauaaji haya hapa: Membe, Gotham na Ridhiwani wahusishwa Ni kwa kipindi chamuda...
  4. gize

    Zitto Kabwe: Adui, Rafiki, Kipenzi

    BY SHEILA MBAGA Sheila Mbaga is offline Sheila Mbaga Join Date : 27th February 2015 Default Re: Taarifa sahihi kuhusu ulinzi wa Dk. WillibrodSlaa dhidi ya upotoshwaji unaoenezwa Ukweli wa Mauaaji haya hapa: Membe, Gotham na Ridhiwani wahusishwa Ni kwa kipindi chamuda mrefu...
  5. gize

    Wabunge 150 wa CCM wajitosa kumuunga mkono Lowassa

    BY SHEILA MABAGA Sheila Mbaga is offline Sheila Mbaga Join Date : 27th February 2015 Default Re: Taarifa sahihi kuhusu ulinzi wa Dk. WillibrodSlaa dhidi ya upotoshwaji unaoenezwa Ukweli wa Mauaaji haya hapa: Membe, Gotham na Ridhiwani wahusishwa Ni kwa kipindi chamuda...
  6. gize

    Nguvu ya CHADEMA yawakwamisha ACT-Tanzania kufanya mkutano

    Duuh ni shidaaaaaaaaaaaaaaa
  7. gize

    Tatizo la mahusiano

    chukua wakati kidogo, kama unasoma maliza shule kwanza kama unafanya kazi jipe muda kidogo kuwa bize na kazi baada ya mwaka hadi mwaka na nusu hivi utakuwa okay, na Umchunguze mtu vizuri kabla ya kumkubali. UWE MAKINI SANA.
  8. gize

    Ufafanuzi wa IPTL kwa Bunge

    epa ilianza hivi hivi... Watu wakabezwa sanaaaa, ikaja meremereta.,mara richmond, ikaja kiwira.... Deep green... Loh tanzania yangu.... Mambo ya vijisenti hayo, huu nao ni upepo tu utapita tu
  9. gize

    Mwigulu Nchemba anaaibika hapa Gairo...

    Kamanda MPANDA Jr,Tumia vile viskills vyako vya jiografia ya kidato cha 4 (phorograph) , utuletee kapicha kamoja ka ukweli sana ukiwa mbali kidogoo sehemu iliyoinuka ili tuone mahali pote tuwahesabu hao wahongwa kanga, kofia, na mkate wanaomshangaa savimbi, gaidi, a. k. a mchepuko wa juliana wa...
  10. gize

    Ngorongoro heroes v Nigeria U20 - Afcon U20 Qualifier

    sisi sijui ni kipi tunakiweza, labda wizi ndani ya wizara na ahadi hewa .. tehhh, tumerogwa??
  11. gize

    Ngorongoro heroes v Nigeria U20 - Afcon U20 Qualifier

    full time, Nigeria 2, tz-0
  12. gize

    Ngorongoro heroes v Nigeria U20 - Afcon U20 Qualifier

    full time nigeria 2, tz-0, marudiano ni baada ya wiki 2 hawajamaa nigeria kwao (uwanja wa nyumbani) walimfunga south africa goli 6, na tunisia goli 10, so tukienda kwao huenda tukapigwa 10 au saba, Maana hatuna beki, wala washambuliaji, no stamina wala plan Tanzania sijui ni nini tunakiweza...
  13. gize

    Ngorongoro heroes v Nigeria U20 - Afcon U20 Qualifier

    dakika ya 47, muda wowote mpira unakwisha Nigeria 2, tz, 0
  14. gize

    Ngorongoro heroes v Nigeria U20 - Afcon U20 Qualifier

    dakika 3 za nyongeza
  15. gize

    Ngorongoro heroes v Nigeria U20 - Afcon U20 Qualifier

    watz wanakosa goli la wazi kabisa dakika ya 41, washambuliaji hawana malengo wanjiangusha tu, no stamina, lishe ndogo naona
Back
Top Bottom