Wabunge 150 wa CCM wajitosa kumuunga mkono Lowassa

Wabunge 150 wa CCM wajitosa kumuunga mkono Lowassa

“Nasema bila kificho mimi ni mganga wa tiba asilia ambaye pia ni makamu mwenyekiti wa waganga wote nchini, sisi tutahakikisha tunakuunga mkono ndugu yetu lakini utuhakikishie kama utagombea urais,” alisema Ngonyani
 
Yahya Kassim Issa
“Lowassa ni mwenyekiti wangu katika Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje uwezo wake naujua hata pale tunapobabaisha au kudanganya kidogo, anagundua, kwa kweli tunajifundisha mengi kutoka kwake” alisema mbunge huyo wa Chwaka, Zanzibar (CCM)- anhaa huwa mnadanganya
 
Lowassa na wapiga porojo wake hatuwataki, nchi hii tumeteseka sana 2010-2015 hatutaki kurudia makosa
 
Katika magazeti ya leo story kubwa ni wabunge kumuunga mkono Lowassa eti watu kama Komba, Chatanda, Ntukamazina wote wamefunguka.

Binafsi mradi huu niliutarajia sema ulichelewa, kinachooudhi ni magazeti yetu kutofanya utafiti kidogo kujua huu ni mradi wa watu.

Kwa hivi sasa hakuna weledi, tunatumikia wenye fedha kuanzia viongozi hadi wataalamu wapo mifukoni mwa wenye fedha ambazo hatukuwahi kujua wamezitoa wapi.

Mtatufanya tusome mitandao maana huku watu wanahoji, wanauliza wanatia mashaka.Eti mtu anafaa kuwa rais kwa sababu aliposhuka kwenye gari alishangiliwa?

NCHI HII BADO SANA.


Chanzo:Mtanzania

Mbona hawaja fikia 150????
 
Hii hafla ilikua na wabunge wa aina gani mpaka Komba na Maji marefu wakawa na pointi za kusimama kuongea.
 
Lowassa ndani ya CCM ndie Mwamba!!!!! kila la heri mweshimiwa.
 
Unlike a democratic nation election campaign period, habari za kutafuta uongozi za CCM zinakuja kama ripoti za mediaeval Europe au ancient Egypt. Kipindi ambacho kuchukua ufalme inabidi uwashawishi watu fulani wa mabaraza na regional support kwenda kumvaa mfalme au kuchukua nafasi ya ufalme pale mfalme anapokufa.

Tofauti iliyopo pekee miaka hiyo watu wakikukubali wanachakua farasi au wanapanda mashua na mapanga kwenda kuchinjana wewe kiongozi unatakiwa ugharamie vita, sisi kwetu hela bado inatumika vilevile kuwaonga wale wanao kukubali ndani ya CCM hila hakuna mapanga bali wawe tayari kukupa kura ya ugombea.

Maajabu haya nafasi inayogombewa kwenye dunia ya leo kiongozi anatakiwa aheshimu katiba, apigiwe kura na awe na agenda za kulifanyia kazi taifa na kulitelea maendeleo.

Yaani viongozi hawana muda kabisa na sisi wapiga kura kusema watatufanyia nini kwakuwa for some reason wameshajua chama chao kitashinda uchaguzi ujao sasa wamebaki kuwa busy kufanya siasa za mediaeval europe ambapo mwananchi anahusika vipi kwenye uchaguzi wa mgombea wa uraisi labda through their community leaders ndio siasa za makanisani, sijui wazee wa wapi wamemchukulia fomu fulani, mara vijana nao wanachukulia watu fomu; dharau ya ajabu kwetu sisi wapiga kura.

Ni hatari katika kupata kiongozi bora, mijitu inashutuma, mijitu aijatufanyia kitu, mijitu aina hata uwezo; cha muhimu ni kupata ushawishi wa watu kukubali ndani kwao wewe ndio kiongozi ujae sio fulani ana sera zenye tija kwa taifa. Na wala hawana tena huo muda wala sababu za kuangaika kutushawishi wapiga kura.

Hivi kuna mtu keshawahi kusikia msimamo wa Pinda kwenye leleto pinda huyu huyu migogoro ya ardhi iliyomshinda, hila tuna ambiwa anayo budget ya billioni kumi tayari ya uchaguzi, Lowassa ambae aoni hata sababu ya kujitetea shutuma zake, hizi ndio siasa zinavofanywa kwenye republic kweli unless ours is a banana one.
 
Hao wabunge wana akili nyingi,hekima,busara na maono kama mimi Ng'wanapagi.
 
Katika magazeti ya leo story kubwa ni wabunge kumuunga mkono Lowassa eti watu kama Komba, Chatanda, Ntukamazina wote wamefunguka. Binafsi mradi huu niliutarajia sema ulichelewa, kinachooudhi ni magazeti yetu kutofanya utafiti kidogo kujua huu ni mradi wa watu. Kwa hivi sasa hakuna weledi, tunatumikia wenye fedha kuanzia viongozi hadi wataalamu wapo mifukoni mwa wenye fedha ambazo hatukuwahi kujua wamezitoa wapi.Mtatufanya tusome mitandao maana huku watu wanahoji, wanauliza wanatia mashaka.Eti mtu anafaa kuwa rais kwa sababu aliposhuka kwenye gari alishangiliwa?NCHI HII BADO SANA.Chanzo:Mtanzania
Si kwa hao wabunge tu bali hata kwa wananchi walio wengi kwa sasa,kauli yao ni " Ndani ya CCM hata upinzani kwa ujumla hakunaga kama Mheshimiwa Lowassa katika nafasi ya Uraisi". Na kuna hoja nzitonzito juu ya uchapakazi wa mheshimiwa na aina ya kiongozi anayetakiwa kwa sasa kulinusuru Taifa letu, tumwombee afya njema na Mungu huwa hawatupi waja wake. LOWASSA FOR PRESIDENCY....
 
Safi sana hao wabunge. Inawezekana wana vinasaba vyangu (DNA)
 
mbinu zilezile za kishamba za kutisha watu za wanamtandao zinarudiwa miaka 10 mbele ! hao wabunge wa ccm ni wanafiki na waoga sana , huyu lowasa atapigwa chini na wote hawa wataufyata vibaya sana ! njaa ni kitu kibaya sana , hawa wamefanya siasa kama ajira , POOR MIBUNGE YA CCM !
 
BY SHEILA MABAGA Sheila Mbaga is offline
Sheila Mbaga

Join Date : 27th February 2015

Default Re: Taarifa sahihi kuhusu ulinzi wa Dk. WillibrodSlaa dhidi ya upotoshwaji unaoenezwa

[h=1]Ukweli wa Mauaaji haya hapa: Membe, Gotham na Ridhiwani wahusishwa [/h]
Ni kwa kipindi chamuda mrefu kumekuwepo na kikundi kinachoratibu mauaji ya watu mbali mbali. hayatunayoyasikia kwa Dr. Slaa siyo mageni masikioni mwetu bali ni muendelezo wakile kinachoratibiwa na kundi hilo. Ni wazi kuna mipango yaliyoanza kutekelezwakwa baadhi ya wana CCM na baadhi wa wapinzani, leo hii naomba niwatelee ukweliwa haya mauaji yote na mipango ya kuuwa watu wengine....

1. Mjumbe wa NecLudewa: Huyu ndiyo alikuwa mhanga wa kwanza katika mauaji ya hivi karibuni,mjumbe huyu wa halmashauri kuu ya Taifa ya CCM, aliwekewa sumu katika kikao chaNEC kilichofanyika mwezi wa 11 mwaka jana katika mji wa Dodoma, bila kupepesamacho uratibu wa kumwekea sumu uliratibiwa na bwana moja anayejulikana kwa jinala Jack Gotham, ambaye ni kada wa Chama cha Mapinduzi.

2. Mjumbe wa Nec waCCM kutoka Kahama: Huyu ni mjumbe wa NEC wa chama cha mapinduzi kutoka wilayaya Kahama, ambaye ni mdogo wake waziri Marry Nagu, naye ni muanga wa kuwekewasumu, ambapo aliwekewa sumu katika kikao hicho hicho kilichoketi Dodomamwishoni mwa mwaka jana.

3. BeatriceShelukindo: Huyu ni mbunge wa Kilindi kupitia chama cha mapinduzi, na ni mjumbea halmashauri kuu ya Taifa kupitia wilaya ya kilindi, ni kwa muda mrefu sanaMama Beatrice amekuwa akiugua na kutibiwa India. Beatrice aliwekewa sumubungeni na wahusika hawahawa ambao nitawataja hapa chini. kama unakumbukaBeatrice Shelukindo alikuwa moja wa wabunge waliokuwa wakali sana kuhusu swalala Richmond ila baadaye alipogundua ukweli akaamua kuwakimbia na kusimama katikaukweli. Ni jambo la kumshukuru Mungu ya kwamba kwa sasa Beatrice yuko nchini naanaendelea vizuri baada ya juhudi kubwa za madaktari wa India kuweza kuondoasumu aliyowekewa.

4. Kapteni Komba:Komba amekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi na mjumbe wa NEC kupitia Nyasa, baadaya mazishi yake yaliyofanyika wiki iliyopita sasa ni wazi kilichomuuwakimejulikana. Komba aliwekewa sumu na hao hao wahusika sababu kubwa sikiwambili, mosi ni ahadi aliyopewa Stella Manyanya kuhusu jimbo husika na pili niwazi Komba alikuwa instrumental katika siasa za Edward Lowassa ambaye anawatoaroho huko CCM katika kinyanganyiro chao cha uchaguzi wa ndani. Ni Komba sikuchache kabla ya kuwekewa sumu alisema wazi wazi kwamba anamuunga mkono Lowassakuwa mgombea wa chama cha mapinduzi.

5. Salum Awadh: Huyualikuwa ni mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha Mapinduzi, kifo chakehakikupishana na cha Komba, pamoja na sifa zote ila alikuwa na sifa moja kubwaambayo ni ujasiri, Ni Awadh aliyediriki kusema mbele ya Mkt Jakaya kwamba kamani kosa la maadili basi wagombea wote ndani ya CCM wana kosa hilo la maadili nasiyo wachache kama tunavyoaminishwa, pili ni Awadh aliyetoa hoja binasfi ndaniya kamati kuu kwamba Nape Nyauye ambaye ni mwenezi wa chama afukuzwe ndani yachama na anyanganywe kadi yake mara moja kwa sababu alishakisaliti CCM na kuwamoja wa waanzilishi wa CCJ, vile vile Awadh aliongezea hoja yake kwamba kwasasa Nape yupo kwa ajili ya kukibomoa chama badala ya kukijenga...

Bwana Awadh aliwekewasumu na ndugu Issa Gavu katika ofisi ya Kisiwandui, siku mbili kabla; nduguGavu alifanya kikao cha pamoja katika hoteli ya Serena akiwa na RidhiwaniKikwete na Jack Gotham ambaye ni consultant kwenye mradi wa vitambulisho vyaTaifa {NIDA), na ndiyo meneja kampeni wa Bernard Kamilius Membe..

Gotham mnano tarehe22.04. 2014 alienda Nchini Bulgaria kupata mafunzo ya kuuwa watu kwa njia yasumu na kisha akarudu na sumu aina ya CYNIDE ikiwa ni sumu mahsusi kwa ajili yakumaliza wale wote wanaoona ni kizingiti kwao katika kukamata dola. hii sumu nikwa ajili ya kuwamaliza wale waliovizingiti kwao ndani ya chama chao na nje yachama chao, ndiyo mana leo hii kusikia kuhusu Dr. Slaa kutaka kuuwawa ni swalaambalo ni serious na la ukweli. Katika hili la Dr. Slaa msimamizi mkubwa niMangula ambaye ni makamu mwenyekiti wa chama hicho (kama mlivoona kwenye vyombovya habari vya leo), na ni Membe aliyeenda kusini kumfata Mangula....

Mkakati huu unarudinyuma alivyouwawa kijana moja wa Kinyakyusa kisha wakasema ni ajali ya gari(stori hii ilikuwa reported kwenye vyombo mbali mbali vya habari). Kijana huyualiuwawa baada ya kutoa siri za Home Shopping Centre na Ridhiwani kutoa watuSouth Africa kwa ajili ya kumuuwa Bwana Masamaki ambaye ni kamishna wa Tax TRA.

Huu mchezo wa kuuwawatu haujaanza leo, hawa mabwana walianzisha utaratibu wa kutoa watu SouthAfrica na Kenya kwa kazi hiyo tu. wamefanya hivyo kwa Ulimboka Steven ambapowatu walitolewa Kenya na kushirikiana na Ramadhani Ighodu, wakafanya hivyo kwaAbsolom Kibanda (kama unakumbuka kati ya maadui 11 aliyowataja Membe, KIbandaalikuwa moja wao kama mwandishi)...

Mwaka 2012 RidhiwaniKikwete alichukuwa watu kutoka Kenya kwa ajili ya kufanya kazi maalumna mpakasasa watu hao bado wapo nchini ambapo wamepangishiwa nyumba mitaa ya Masakieneo maarufu kama Kilimanyege karibu na Jacks Bar.... Mauaji haya yamekiwayakisimamiwa na Membe na kuratibiwa na Ridhiwani pamoja na Gotham...

Nina uhakika kwambahaya yanafanyika bila Rais Jakaya kujua, hata hapa idara yetu hakuna wanaojuahili swala zaidi ya watu wa karibu wa Membe. Ridhiwani amekuwa akifanya hayayote na hao washirika wake hata bila baba yake kujua na hii ni kwa sababu dogokashaingizwa kwenye biashara haramu mbalimbali likiwemo na la kuuza madawa yakulevya. Kwa sasa ni wazi hawa watu wanafanya jitiada zozote zile waingiemadarakani ili kulinda dhambi zao, na wanafanya kila jambo ili washindeuchaguzi wa mwaka huu, kwa hali hiyo tutegemee mauaji mengi na makubwa kutokeakuanzia sasa.. Na kwa sasa bila kuwaficha ila nafanya haya kwa neema za Mungukuna mpango wa kuangusha helcopter ya Chadema... hawa watu wamekuwa wakipangakufanya haya mambo na kujadili hali ya siasa katika hoteli zifuatazo 1). Serena2). Protea na 3). Collesium Oysterbay...

Ila kwa wale mabibiwa umri kama wangu watakumbuka kifo cha kutatanisha cha Padre Serapius Kombaambapo Membe wakati huo alihusishwa. Komba aliuugua ugonjwa wa kufa ubongo polepole. Komba alikuwa Gombare wa seminari kuu Peramiho, mwandishi mahiri na mtualiyejaliwa upendo ila kwa unyama wa Membe na ushirika wake na Padre SebastianNepachichi walidiriki kukatisha uhai wa padre Komba... Hata hivyo kifo chabalozi wa Libya aliyeuwawa yasemekana kuna mkono mkubwa wa MEMBE..... Membe nimtu hatari sana na kama Taifa tusikubali kurudi kwenye zama za mauaji yakikatili....

Asanteni
Mtoto Sheila.....

like

Pasco, ocampo four and jme like this.
 
Back
Top Bottom