watz wanakosa goli la wazi kabisa dakika ya 41
Duh! jaman sie kila siku kilio?
full time, Nigeria 2, tz-0
Vijana wa Stewart Hall leo wapo kibaruani.. Je watapita au ndo zile zile zetu kushiriki..
Updates
***************
tanzania 0 - 2 nigeria
yaani wakipewa promo tu tunafungwa damn..