Recent content by GITU

  1. GITU

    Hari tete mgodi wa dhahabu

    Hiyo ni kweli,sehemu hii baadhi wamekuwa wakikipigia kura hususani watu wote wasio ona mbali, baada ya uchaguzi mdogo ambapo walimrudisha mbunge wa Ccm ndipo Walipoona mateso zaidi,na chakusikitisha vijana wengi tulikuwa hatuna hamasa ya upigaji kura, lakini kwa sasa swala hilo tulilivalia...
  2. GITU

    Hari tete mgodi wa dhahabu

    Mtu mmoja amekufa Nilijaribu kuonge na kijana anayechimba eneo hilo alishuhudia askari wakimwambia "potea hapa" baada ya kumpa kipigo baada ya siku mbili wakamuokota amekufa wapi tunakokwenda hadi sasa watu wawili wamepoteza maisha na watu wanaogopa kweli kuyaweka wazi sasa haya,kama unaweza...
  3. GITU

    Hari tete mgodi wa dhahabu

    SHERIA ZAWEKWA KARI, WATU WANAPIGWA MPAKA KUWA VIREMA HATIMAYE KUPOTEZA UHAI. Ndugu zangu wanajamiiforum hari bado ni tete huku machimboni,Nyaruyeye ni miongoni mwa kijiji kinachojipatia umaarufu kwa upatikanaji wa Madini ya dhahabu kwa hari ya juu.Kijiji hiki kinapatikana Mkoa mpya wa...
  4. GITU

    Kwanini sisi Waafrika ni Masikini?

    Ni, kweli unachokiongea! Kwanza kabisa mwafrika bado hajajitambua kua yeye anauwezo wa kufanya mambo makubwa kama wenzetu,pia sisi waafrika tuna kitu kimoja kiitwacho"most people of africa they have dreams,but they have not planning to do,so utagundua kwamba sisi hatuna unit kama wenzetu pia...
  5. GITU

    Maina Owino wa CCM UK awashukia wabunge wa CHADEMA juu ya kumsusia JK

    Anaongea kitu gani huyu owino" huyu si nikibaraka wa ccm!Tena ni mwenyekiti wa tawi la ccm huko Reading na wala sio london..
  6. GITU

    Serikali yatoa tumaini Mahakama ya Kadhi

    Ndugu zangu kama ni hivyo,hata wakristo nao pia watahitaji mahakama yao?Je inamaana nchi itaendeshwaje? Kama si kuleta masuala ya umwagaji damu,kama nigeria naomba kwa jina la MUNGU WA MBINGUNI ISIWEPO MAHAKAMA hiyo kwani,utakuwa ni mwanzo wa uingizwaji wa silaha maana wenzutu kwa kujitoa mhanga...
  7. GITU

    CCM Wanunua U Turn Blog

    hajui alitendalo huenda huwa wanakutana na ndugu yake jk huko nje kufanya ushoga wakazawadiwa hiyo blog
  8. GITU

    GE2010 Namuombea slaa kura

    hivi wewe unaongea pumba gani"silaha ndo chaguo letu inawezekana wewe umeshapewa chupi za ccm"MUNGU BARIKI TANZANIA,MUNGU MBARIKI DOCTOR SLAA
  9. GITU

    Msaada wa kimawazo nahitaji"29-10-2010

    asante sana kaka kwa ushauri wako mzuri
  10. GITU

    Msaada wa kimawazo nahitaji"29-10-2010

    asante! Kaka shukrani
  11. GITU

    Msaada wa kimawazo nahitaji"29-10-2010

    tumia mlenda au mboga za majani acha kula nyama ya kitimoto pengine ukaanza kuona vizuri!
  12. GITU

    Msaada wa kimawazo nahitaji"29-10-2010

    Hi, yeah kama kichwa cha ujumbe kinavyosema, nahitaji msaada wa kimawazo. mimi nikijana tu wa kawaida niko kidato cha pili katika sekondari ya kata ya nyarugusu wilayani/mkoani geita. nimekuwa nikitembelea tovuti mbalimbali kuchati kubadirishana mawazo na watu mbalimbali, kupitia forum za tovuti...
  13. GITU

    CCM Busanda inachekesha! 25-10-2010

    Leo ni siku ambayo"kiongozi wa mkuu anawasili katika jimbo la busanda katika kata ya nyarugusu"vijana wengi hawaoneshi msisimko wowote ambao watu wengi wamechoka na chama cha ccm mpaka wazee nao wamechoka"kinachochekesha chama cha mapinduzi kinakusanya maroli ambayo yanabeba watu kutoka sehemu...
  14. GITU

    GE2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

    Tunahitaji serikeli mpya na siyo serikali ya undugu
  15. GITU

    Kunguni (bedbugs) ni wadudu wenye uwezo wa kukaa mwaka mzima bila kula

    Je,kunguni hawa wanazaliana kwa namna gani?
Back
Top Bottom