Recent content by Gininiga

  1. G

    Dr. Nchimbi na Sophia Simba kumuunga mkono dr. Magufuli ni dalili ya umoja wa CCM?

    Alichokifanya Lowassa ni shahada yake ya kwanza aliyoisomea Chuo Kikuu cha Dsm ya Sanaa.
  2. G

    Dr. Nchimbi na Sophia Simba kumuunga mkono dr. Magufuli ni dalili ya umoja wa CCM?

    Ni kiini macho kumpambanisha Magufuli na Lowassa, ipo siku utaniambia.Magufuli yupo vizuri sana.
  3. G

    Dr. Nchimbi na Sophia Simba kumuunga mkono dr. Magufuli ni dalili ya umoja wa CCM?

    Magufuli atashinda uchaguzi hilo halina mjadala.
  4. G

    Magufuli yupo Arusha kikazi

    Leo Dr.Magufuli kapokelewa Arusha ambapo atakagua Ujenzi wa barabara na kumkaribisha Makamu wa Rais kwenye Ujenzi wa barabara ya Kia kwenda Mererani.
  5. G

    Buhohela analipwa na ITV, Magufuli au CCM?

    aliyeripoti jana mkutano wa CHADEMA naye analipwa na CHADEMA au Tundu Lissu au Lembeli, ache umbulula.
  6. G

    Wananchi bahi wamsubiri magufuli hata usiku

    Wananchi wa Wilaya ya Bahi hata usiku ilibidi wamsubiri Dkt.Magufuli japo kuapata neno la utambulisho wake.
  7. G

    Mwanza yazizima mapokezi ya Magufuli

    Mwanza leo imetikisika mapokezi ya Magufuli, wenyeji wanasema haijawahi kutokea tangu ujio wa marehemu Baba wa Taifa Julius Nyerere. http://michuzi-matukio.blogspot.com
  8. G

    Magufuli amtembelea Askofu Malasusa

    Crimea Dkt.Magufuli ni Mcha Mungu: Kutoka kushoto: Janet Magufuli, Kadinali Pengo na Dkt.Magufuli SHEHE Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum akisalimiana na Dkt.Magufuli kipindi anawasili akitokea Dodoma.
  9. G

    Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

    Hahahaaa! tafuta pengine pa kutokea hapa umekosa, hao waliopewa nyumba kwa nini wasikamatwe! lakini pole sana.
  10. G

    Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

    Umepotea tafuta kingine, sehemu unayosema Mussa na Sundi waliuziwa nyumba si kweli kwa kuwa kulikuwa na Makontena na baadae yalivunjwa ikajengwa nyumba akapewa mtumishi wa Umma kwa sasa pale Makontena yale hayapo Tena. Huyo Musa alienda TBA kufanya field ya shule ya masters degree. Na kwa...
  11. G

    Ni mmoja wao Dkt. Magufuli, Membe na jaji Ramadhani

    WAZIRI wa Ujenzi, Dkt.Magufuli, anapewa nafasi kubwa ya kupitishwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mgombea wake wa nafasi ya urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, Raia Mwema limeambiwa. Mchakato wa kutafuta mgombea ndani ya CCM unatarajiwa kuhitimishwa Jumapili wiki hii mjini Dodoma...
Back
Top Bottom