Dkt. Magufuli na Samia Suluhu watua Zanzibar

Dkt. Magufuli na Samia Suluhu watua Zanzibar

Gininiga

Member
Joined
Mar 6, 2015
Posts
28
Reaction score
16
Magufuli.jpg

​
 
Najiuliza tu! Hivi Samia anaushawishi wowote Zanzibar?
 
Najiuliza tu! Hivi Samia anaushawishi wowote Zanzibar?

Kwani Shein alikuwa na ushawishi gani Zanzibar?

Ushawishi wa CCM Zanzibar na wa Rais Mteule unatosha kuleta ushindi wa kishindo,tunaposema kishindo tunamaana usiopunguza 75% ya kura zote.
 
Siku nne tu toka wachaguliwe washapoteza mvuto hamna anayetaka kusikia habari zao!!
 
Naalafafu mambo ya kumgaramia ulinzi mteule wa ccm ambapo bado ajawa rais ss raia hatupendi kabisa....hao tunawalipa kodi zetu sisi...bas Dr slaa,and prf libumba nao wagaramiwe
......
 
Naalafafu mambo ya kumgaramia ulinzi mteule wa ccm ambapo bado ajawa rais ss raia hatupendi kabisa....hao tunawalipa kodi zetu sisi...bas Dr slaa,and prf libumba nao wagaramiwe
......

Kuna tofauti ya mgombea urais na Rais Mteule, lazima ulinzi wake uwe wa juu zaidi maana ndiye Rais wa Awamu ya Tano.
 
Tume ya uchaguzi na Msajili wa vyama vya siasa wamelala tu! Ngoja "anye bata" mtawasikia "kahara"!:glasses-nerdy:
 
Kibaraka wa dhaifu.Jk kamtoa mfukoni huyu mpiga mbizi kutawara kwa remote toka msoga
 
Kuna tofauti ya mgombea urais na Rais Mteule, lazima ulinzi wake uwe wa juu zaidi maana ndiye Rais wa Awamu ya Tano.

Kwa hiyo mkuu magufuri kesha kuwa rais bado kuapishwa unavyo maanisha???!..ukawa je unatuacha wapi??sasa ni zamu ya ukawa mkuu...utake usitake yeye magufuri anajipotezea muda tu
 
Akiwa na mgombea mwenza wake, Ameongea hotuba fupi ametoa salaam zake na kuongea na wanaCCM waliofurika hapo cha kufurahisha ameongea hadi Kisukuma na wengi ktk umati wameonyesha kuifahamu lugha hiyo, Kitu alichosema kuw ndio kinajenga umoja wa watanzania.
 
walifunga barabara ili watu wapit3 kwa miguu waonekane wengi tulilazimika kuingia kundini kwa kuwa barabara zilifungwaupumbavu tu utafikiri sherehe ya kijeshi vile
 
Kwa hiyo mkuu magufuri kesha kuwa rais bado kuapishwa unavyo maanisha???!..ukawa je unatuacha wapi??sasa ni zamu ya ukawa mkuu...utake usitake yeye magufuri anajipotezea muda tu

Lini iliandikwa kuna zamu ya kuachiana urais?UKAWA mnachoweza ni kuachiana hiyo nafasi ya mgombea urais, ata akina Mziray na bila shaka watagombea.

Lakin Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tayari kila mtu anamjua.Ndio maana siwashangai mnavyoanza sasa ndani ya UKAWA kugombania fito maana matokeo ya uchaguzi ujao ni juu ya ruzuku mtakazopata na wabunge wa viti maalum na sio urais wala uwaziri.
 
Back
Top Bottom