mkatoliki safi
Mkarismatiki
Askofu Dr Alex Malasusa hapatani kabisa na Mh Edward Lowassa (japo ni mLutheri). Lowassa alishajaribu kumuengua Malasusa kwenye kiti cha uAskofu. Magufuli kwenda kumtembelea itakuwa heshima kubwa kwa Malasusa na waLutheri.
Hivi Magufuli ni Mlutheri au Mkatoliki?
Unapenda picha sio? Hii hapa chukua!
View attachment 268276
Mkatoliki kindakindakimkatoliki safi
Mkarismatiki
Mkatoliki kindakindaki
Kama Magufuli atachaguliwa Kuwa rais, atakuwa rais mkatoliki wa tatu baada ya Nyerere na Mkapa. Sina uhakika ni bahati au ni mkakati wa kanisa katoliki kwamba Kila rais mkiristo ni lazima awe mkatoliki. Malecela alipigwa zengwe na Nyerere akajitoa ili Mkapa awe rais na kama mnavyojua Malecela ni anglikana na safari hii Lowasa(Lutheran)amepigwa zegwe kumpisha Magufuli(mkatoliki).
Nipo tayari kusahihishwa kwa hili.