Yaliyojiri Mkutano wa Kihistoria wa CHADEMA Mwanza, Ulirushwa live kwenye TV na Radio

dawa ya mapanya buku wa lumumba imepatikana.Mkwere ameacha furushi la ma...v..i kwa makomeo
 
Hakuna asiye na chama anayeichukia CHADEMA na viongozi wake labda iwe umetoka kuzimu au wewe ni shetani.
ni nini hasa vigezo vya mtu kuitwa anachama? sina kadi ya chama hapa nilipo, sina mgombea hapa nilipo na sijaamua nampigia nani mpaka sasa hivi (japo dalili zinaonyesha naweza kumpigia magufuli).
sasa unapotaka kunilazimisha kuwa ninachama nakushangaa. anyway, tukubaliane kutokukubaliana.
 
CDM is stronger than ever before!Kilichosaidia ni mwamko wa wananchi kufuatilia mambo ya nchi yao,nimetoka kijijini kwetu juzi ambako nimekuta mabadiliko sana!Ikifika saa 2 watu hukusanyika mahali kwa vikundi kuangalia taarifa ya habari na kujadili yaliyojiri!Uelewa umeongezeka,wapo wachache ambao bado lakini in due time watabadilika tu!
Jitihada zinazofanywa na upinzani katika nyanja tofauti sasa zimezaa matunda,muitikio ni mkubwa!
 
Kwa watu wenye moyo wa kibinadamu kama Bulaya na Lembeli huwezi kuvumilia madudu yanayofanyika ndani ya CCM. Watu walioko CCM wengi ni waroho. Ehe Mwenyezi Mungu, tuepushe na hiki chama.
 
Ulielewa kilichoandikwa au ulijibu tu???

ni nini hasa vigezo vya mtu kuitwa anachama? sina kadi ya chama hapa nilipo, sina mgombea hapa nilipo na sijaamua nampigia nani mpaka sasa hivi (japo dalili zinaonyesha naweza kumpigia magufuli).
sasa unapotaka kunilazimisha kuwa ninachama nakushangaa. anyway, tukubaliane kutokukubaliana.
 
Utakuwa mkutano mkubwa wa aina yake kuwahi kufanyika kwa siku za hivi karibuni katika shughuli za kisiasa nchini.

Mkutano huo utakaofanyika Jumatano, Julai 22, 2015 kuanzia majira ya saa 8 mchana utahudhuriwa na Viongozi wakuu wa Chama wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama Taifa Freeman Mbowe, Katibu Mkuu Dk. Slaa, Makamu Mwenyekiti Bara Prof. Abdallah Safari.

Viongozi wengine waandamizi watakaokuwepo ni; NKMZ John Mnyika, NKMZ Salum Mwalimu, Mjumbe wa KK Prof. Baregu, Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini Arcado Ntagazwa na Mwenyekiti wa BAWACHA Taifa Halima Mdee, ambao wote watahutubia taifa kutokea Uwanja wa Magomeni jijini Mwanza.

Waliokuwa wabunge wa CCM, wapiganaji Mzee James Lembeli na Easter Bulaya watakuwepo Uwanja wa Magomeni. Tusimalize utamu hapa kuhusu watakachosema.

Mkutano utatangazwa live kwa masaa 3 kupitia ITV na Radio One.

Wakati Watanzania wengine watapata fursa ya kufuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia tv na radio, wakazi wa mikoa ya Kanda ya Ziwa watawakilisha kwa kufika kwa wingi uwanjani hapo kusikia hotuba zitakazotoa mwelekeo wa taifa hasa tunapoelekea kwenye Uchaguzi mkuu.

Wametangulia na kufuli, tutakuja na ufunguo.

Makene


Updates...

Maandamano ni makubwa mno. Haijawahi kutokea. Kutokea Uwanja wa Ndege wa Mwanza kuelekea mjini ambapo ni mwendo kama wa dakika 10 hivi hadi sasa msafara umetumia masaa mawili na bado haujafika mjini.

Mji mzima unanukia CHADEMA, Kanda ya Ziwa at its peak for changes.

Clear signs of quest for changes for the better future under safe hands of the committed and responsible leaders.

Tutaanza kuwawekea picha punde. Hapa hapa

 
Last edited by a moderator:
hii hapa ni gelesha tu na mkimpa mwanya tu dogo anawamaliza kupitia huu huu urafiki wa ghafla wa mashaka:glasses-nerdy:
Rais wa INJI hii mangi ni Magufuli
piga uwa garagaza mtajificha km Hamis Mgeja wa Shinyanga na Hussein Bashe wa R.A. weshamtosa Lowassa basi UKAWA qUISHNEY
11.jpg

 
Hayo yametokea juzi kwenye mkutano wa historia wa Chama cha Demokrasia na Maendelea (Chadema).

" Nanuku" WATANZANIA WATUSAME MAANA HATUKULIJUA CHAMA TULICHOKUWEPO KILIKUA KIBAYA NAMNA HIYO" mwisho wa kunuku hayo nimaneno yaliyosemwa na waliorudisha card za ccm.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom