Recent content by GIMME FIVE

  1. G

    JamiiForums Tanzania Barrack Obama kuwasili Tanzania na ujumbe wa watu 700!

    Oop! Poor tanzanians
  2. G

    JamiiForums Tanzania On a serious note: kutetea umachinga ni ushujaa?

    maching guys!!!!!!!!!!!!!!!
  3. G

    JamiiForums Tanzania VIDEO-Mh.Mchungaji Msigwa aachiwa huru,Apokelewa kama shujaa

    MCH.MSIGWA RAIS WA IRINGA MEYA MWAMWINDI ACHA ROHO MBAYA JISHUSHE KWA MANUFAA YA WANANCHI WA IRINGA :boom::disapointed::embarassed2:
  4. G

    JamiiForums Tanzania Msigwa hana busara ya kutatua matatizo ya wamachinga Iringa. Vurugu hazijengi bali zinabomoa!

    wewe kiumbe unaonekana si timamu,hawa wamachinga walianza kufanya biasharapale mashine 3 kipindi monika mbega ni mbunge ,sasa swali kwanini waanzebuguziwa wakati upinzani wamechukuwa jimbo,napenda nikupe ushauri inaonekana wewe unania ya kugombea ubunge iringa, ni haki kikatiba lakini ni wengi...
  5. G

    JamiiForums Tanzania IRINGA: Vurugu, Machinga na Polisi wapambana

    Polisi wanatumiwa kulipaza kisasi ccm wanajimaliza wenyewe.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Anaefanya biashara akiwa Ikuku na mmachinga anaefanya biashara mtaani,nani ni hatari zaidi?

    akili ndogo kutawala akili kubwa nilo tatizo kubwa.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Usalama wa taifa chunguzeni hili,

    Ni vizuri ungeitaji hiyo misikiti
  8. G

    JamiiForums Tanzania Msigwa awatetea Wamachinga kwa ukandamizaji wanaofanyiwa na Serikali

    :disapointed::disapointed::disapointed:
  9. G

    JamiiForums Tanzania Natoa mualiko kwa LEMA kuja UK kusafisha jina lake, nitalipa ghrama za usafiri na makazi.

    Huna kazi ya kufanya zaidi ya kufatilia maisha ya watu unakuwa kama mwanamke,jaribu hata siku kuandika mambo yenye maana yakuelimisha sio kila siku unaleta utumbo hapa sio sehemu ya kutafuta sifa wewe una pesa sana unaweza ukamsafirisha mtu UK,badilika acha ulimbukeni.
  10. G

    JamiiForums Tanzania CCM damu yangu! Ikifa na mimi Nakufa..

    Shairi zuri!!
  11. G

    JamiiForums Tanzania With $11bn Bagamoyo port, Tanzania prepares to take on EA hub Mombasa

    FURUSA NZURI KWA TZ,SASA SWALI KAMA NIKO SAWA CHINA NA TZ WANAPOINGIA MKATABA WA UJENZI WA BANDARI BAGAMOYO,SHARTI MOJAWAPO NI KUTOKUWEPO KWA BANDARI PINZANI KAMA Km200 SASA HAPO KWA BANDARI YA DAR ITAKUWA VP?
  12. G

    JamiiForums Tanzania Wabunge wanaounga mkono 100%.

    Habari wana JF,Mimi huwa natatizika sana na hawa wabunge hasa wa CCM unakuta anatoka ktk sehemu zenye matatizo ni balaa, lakini badala ya kuwatetea wananchi waliowatuma wanatetea chama.USHAHURI WANGU MBUNGE ANAE UNGA HOJA 100% AKISHA UNGA OJA AKAE CHINI HAKUNA MAANA TENA YA KUENDELEA KUANZA...
  13. G

    JamiiForums Tanzania CCM: Tutajidanganya Hadi Lini?

    Pongezi nyingi
  14. G

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema aanza ziara ya kuteketeza CCM Arusha

    Sidhani kama watanzania wanaitaji hotuba za kupendeza au ahadi tamutamu,wanachotarajia kuona nini viongozi wanawatendea sio hao viongozi wanageuka wafujaji badala ya wasimamiaji wazuri na wananchi wakawafurahia.
  15. G

    JamiiForums Tanzania Haki ya mungu leo nimekula bundi

    HIyo nyama inaprotein nyingi sana!!!!!!!!!!:A S tongue::A S tongue::A S tongue:
Back
Top Bottom