Jakubumba
JF-Expert Member
- Mar 5, 2011
- 1,624
- 501
Usikurupuke kujibu bila kusoma post nzima. Ni nini mapungufu ya hii post? Au unataka sisi tukuelewe vipi? Ni wapi mtambuzi amesema yeye ni chadema? Wakati mwingine jaribu kujibu hoja sio kukurupuka na kuanza kuitaja taja chadema. Dr slaa amefuata nini tena kwenye hii post?
Ndugu yangu Mchambuzi kutoka Mtaa wa Ufipa Kinondoni Zipo aina tatu za Propaganda
1.Yellow
2.Black
3.White
Wewe upo namba 2,ni propaganda ya adui kujivika sura ya kirafiki na akakushauri!
Binafsi nimekugundua unatoka Mtaa wa Ufipa kwenye nyumba ya kupanga Kinondoni,washauri viongozi wako wa Chadema ambao naamini baadhi ni vichaa kama Godbless Lema,Dr Slaa ambae juzi alitaka kumzoea Profesa Baregu akampiga stop!