Recent content by gillana

  1. gillana

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Kama upo tayar kuwa wa pili karibu.
  2. gillana

    JamiiForums Tanzania Uthibitisho wa CCM kuiangamiza Tanzania: Kama sifa ya kuwa Waziri ni kuwa mbunge, Ilikuwaje Mawaziri wanaendelea wakati Bunge limevunjwa?

    Bunge halijavunjwa, hivyo waliokuewepo wanaendelea na ubunge wao ama awazi mpaka tarehe 3/ 8 / 2025
  3. gillana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbet wamefilisika au wanataka kunitapeli?

    Nimekula mkeka toka juzi lakini wameshindwa kunilipa. Na kibaya zaid mkeka ulikuwa unasoma pending payment, na Jana mida ya mchana ticket ikasoma payed winner, na kwa uhalisia hawajanilipa nimewapigia kwenye simu wanasema kuna shida ya mfumo. Nal eo ndio hawapokei kabisa.
  4. gillana

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kukopa benki ya CRDB kwa dhamana ya nyumba

    Utuambie kwanza wew huna hiyo m8 lakini utaweza kurudisha huo mkopo kwa wiki tatu, tufungue na sisi ni biashara gani unayotegemea kuifanya, ili nami nikupe njia ya kupata mkopo.
  5. gillana

    JamiiForums Tanzania Jinsi Vodacom walivyojinasua kwenye hasara kabla ya laini kufungwa

    Huduma zipo na hazijawahi kusimama we songesha tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. gillana

    JamiiForums Tanzania Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

    Majibu umeshayapata kiutaratibu utakapo potelewa na kitu chochote nenda polisi katoe taarifa watakupa loss report, baada ya hapo nenda kwenye ofisi za mtandao husika wataiblock na kuswap lain yako na kuendelea na mawasiliano kwa namba yako. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. gillana

    JamiiForums Tanzania Vyuoni network kuhusu rushwa ya ngono ni kubwa sana

    Sawa, wamekutana wote watu wazima hii rushwa lazima itembee Sent using Jamii Forums mobile app
  8. gillana

    JamiiForums Tanzania Ni nini hasa ukomo wa mamlaka ya mkimbiza mwenge mkuu?

    Mi naona huwa na mamlaka makubwa kuliko mkuu wa mkoa,hata mapokezi anandaa mkuu wa mkoa na baadae kuwaachia wakuu wa wilaya zake, ila ninajiuliza baada ya mbio kwisha huwa wanaandaliwa kushika nyazifa gani kubwa au huwa wanaachwa tu?.
  9. gillana

    JamiiForums Tanzania Gunia la mahindi linauzwa lakimoja au kuna njaa?

    Hali halisi kwa mwaka huu maeneo meng yamekumbwa na ukame kama meoneo kanda ya kat, hivyo kuna uhaba wa chakula hali iliyopelekea bei ya mahind kupanda,kwa ufupi kuna njaaa.
  10. gillana

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Chama cha Wajane Wamtembelea Bi Jackline Mengi

    Wasalimie chakwale
  11. gillana

    JamiiForums Tanzania Wengi hawatakwambia hii siri kutokana na ukweli ufuatao kuhusu utajiri wa pesa na mali

    Chama huru sio kama kwenda kununua nyanya kariakoo, kama huna jina mchakato unachukua miaka, sasa wew mwezi wa sita ulikuwa anahitaji kujiunga na leo tayar ni mwanachama, fanya kazi kijana punguza stress.
  12. gillana

    JamiiForums Tanzania TEASER: Nitajie eneo hili unapewa 10000Tzs

    Andaa pesa yangu kabala ya kujib pot
  13. gillana

    JamiiForums Tanzania Utakapojenga Nyumba yako usisahau 2.

    Asante, ujumbe umefika.
  14. gillana

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namtafuta dereva wa lori la mafuta lililopata ajali Morogoro

    Kwenye hii ajari watu wawili mke na mume walibanwa na walishindikana kuokolewa hivyo nao wameungua sijui kama alikuwa ndo dereva wa hio gar, ila nijuavyo madereva inapotokea ajar ikiwa na uwezo wa kujitambua huwa na na nguv za ajabu za kujinasua na kukimbia kwa dk 15 ni nying angeweza kweli...
  15. gillana

    JamiiForums Tanzania Moto wa ajabu, viumbe wa ajabu, ajali ya kushangaza..!

    Dunia ina mambo, hapa nilipo kuna wafanyabiashara wanatuhumiana uchawi, mmoja amekamata misukule ya mwenzie waliotaka kumuwangia sijui kumuibia kwaio anadai alipwe mamilioni ya pesa awachie vinginevyo atawatupa baharini sas jamaa anadai apunguziwe na alipe kidogokidog
Back
Top Bottom