Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Wanabodi !
Vyuoni kuna rushwa ya ngono kubwa mno , ya kufa mtu. Kuna mpaka mawakala.
Walimu wakiume wanawatafua vizuri sana madent wa kike ili wafaulu tests , university examinations etc...Na kuna tabia ya wadada "kuwavuta" walimu wa kiume ili wawatafune wasipate shida kukomaa wakijisomea mitihani.
Wanachuo wa kiume (masela) ni viungo muhimu sana vya mtandao huo..
Mbaya zaidi siku hizi unakuta madent wa vyuo wanakula pombe na walimu wao , huko kunashawishi kutafunana kirahisi sana...
Umezuka mtindo madent wa vyuo mbalimbali kuwa na connection za ukahaba /kuunganishana ili walimu wawatafune..Na siku hizi unakuta mwalimu ni young mno , damu inachemka na wanapenda sana bata.
Dada zetu vyuoni wanatafunwa kinyama !
Sent using Jamii Forums mobile app