Kwahiyo kwavile sijachangi, au nina miezi saba, ai ni thread ya kwanza siwezi kuongea point, wewe uliyejiunga mwanzo heri yako, ila kama kuna watu na wewe walikupita basi kaa tulia jibu hoja acha kuattack personality. Ukiona unamshambulia mtu na si hoja basi wewe umekwisha.
Najua watu wengi kwenye mitandao ya kijamii wanamfahamu Mange kwa kuongea kwake kwingi na mamb mengi anayoyafanya kwenye mitandao hiyo.
Kwa sasa Mange amekua ni gumzo kutokana na Sauti inayosemekana ni ya Mwamvita Makamba aliyoiweka kwenye ukurasa wake wa Instagram.
Baadhi ya watu wameonekana...
Kikubwa ninachoshindwa kuelewa kwenye hili ni inakuaje watu waliokua wakimtukana Mange wakimuita hana akili, wakimtukana kila aina ya tusi chini ya jua hili leo wanamuona kua ni mtu jasiri anaetetea nchi na mwenye upendo wa dhati? Miezi michahe mlikua mkimtukana kwa vile tu alikua akiandika...
Mimi huwa kuna vitu napatashida sana kuelewa.. ukiangalia ile video utaona yule kijana kazungusha mkono kwa nyuma wakati wote mama regina anaongea, sasa najiuliza kwanini hakumzuia tangu mwanzoni? alafu kwanini watu wa ukawa wavujishe hii video? nini lengo laa haya yote? ina maana hawamtaki...
Ni ushauri wangu kuwa tusikubali kutumika kama daraja la watu kupita, wengi wanayao amabyo kwa macho yetu ya kawaida hatuwezi kujua nia nyingne ambazo hawazisemi... those guy are empty handed bt not empyty mind...wanayao wanayotaka kuyakamilisha as soo asa they resume the powe, hivyo ni oombi...
Kila mmoja natamani kuona uchaguzi ukiwa wa huru na wa haki ili mwisho wasiku Tanzania ipate kiongozi bora.. Ila kila chama kina simammisha wakala zaidi ya mmoja hii ni kuhakikisha kua kunakua na ulinzi wa kutosha.. Sasa napata mashaka na hawa wachache wanaosema watalinda kura, unawezaje kulinda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.