Gilda Mushi
Member
- Aug 20, 2015
- 35
- 20
Najua watu wengi kwenye mitandao ya kijamii wanamfahamu Mange kwa kuongea kwake kwingi na mamb mengi anayoyafanya kwenye mitandao hiyo.
Kwa sasa Mange amekua ni gumzo kutokana na Sauti inayosemekana ni ya Mwamvita Makamba aliyoiweka kwenye ukurasa wake wa Instagram.
Baadhi ya watu wameonekana kufurahia kitendo hichi kwa kumuita Mange kuwa ni shujaa na mtu anayeweka wazi maovu.
Mimi sipingani na jambo uamuzi wao ila nina swali moja kwa hawa watu wanaomshabikia Mange.
Je! Mange huyu mnaemsifu leo ndiyo yule mliekua mnamtukana jana?
Ni kweli umeamua kurudia matapishi yenu ya jana kwa vile tu leo yamepuliziwa marashi?
Mlimtukana sana Mange alipokua akimsifuu JM mkamuona ni mpumbavu na msema uongo namba moja,ila leo kwavile amemponda basi na nyinyi mmegeuka na kumsifu.
Embu jichunguze wewe mtanzania acha kupelekeshwa kama upepo, kabla hujasambaza au kuamini kitu kichunguze kwanza.
Kama jana ulimuona Mange ni Muongo, nini kimekufanya leo umuamini?