Recent content by gigi

  1. G

    Wema Sepetu: Sina uwezo wa kuzaa

    khaaaa...acheni kuhukumu.....
  2. G

    Wema Sepetu: Sina uwezo wa kuzaa

    usihukumu usije ukahukumiwa....ww ndo dr uliemchopoa izo mimba?
  3. G

    Lema aliposema nchi hii CCM wameifanya kama Gheto wengi hawakuelewa, Leo tunaona

    huo ni udhalilishaji....udereva ni professional kama zingine. iweje wao warud darasan kila baada ya miaka 3? basi iwe ivo na kwa madaktari...manesi..wahasibu....kwa nini wao? huo ni uonevu wa hali juu. basi wangerudishwa darasan bure...si kulipa ada tena. na wkt alishajinyima na kwenda shule.
  4. G

    Nataka kumuacha mke wangu

    kwa nin hakubaki nyumban...hayo mambo ya mtu kujifungua na kwenda kwa wazaz cjui wakwe.....ni kukwepa majukumu kama baba
  5. G

    Niusaidiaje mchepuko utulie na mkewe?

    acha kujidanganya. uchumba ni rahis kuvunjika kuliko ndoa. angekuwa taaban asingeoa. ila anampenda mkewe na keshajua ww ni mteremko tu......w kupumnzikia. wake up girl....
  6. G

    Kufanya mapenzi baada ya kujifungua: Ni baada ya muda gani, vitu gani vizingatiwe?

    dah...kweli huna huruma. hizo 40 zenyewe ni kwa wanaopona hrk. wengine unakuta bdo hayuko sawa. lol acha tamaa kwaiyo akifa hata kabla hujamaliza aruabain utatafuta wa kumgegeda? mi wangu aliingia labor na mim. hata miez mitatu ilivyoisha alikuwa anaamini cjapona. chezea kuleta kiumbe...
  7. G

    Kufanya mapenzi baada ya kujifungua: Ni baada ya muda gani, vitu gani vizingatiwe?

    enzi za mababu ilikuwa mwanamke akizaa anahama kabisa chumban ( kwa wenye uwezo) wengine walikuwa warud hm kwao au kwa wakwe had 40 iishe. hii ni kuavoid kumtamanisha mzee. hapo miezi 3 angalau. mi nikitoka kujifungua iyo mambo naona kama adhabu......
  8. G

    Faida za kutunza bikra

    Mnachekesha kweli hizo bikra wasichana wanazitoa wenyewe.?Kama mnataka mabikra inaanzia kwa mwanaume. msiwarubuni wasichana msiokuwa na malengo ya kuwaoa.
  9. G

    Hofu, Mashaka, Wivu na Upotoshaji dhidi ya Brigedia Nyekundu-Majibu

    r you serious? policy wanafanya kazi yao sawa sawa. ???? mhhhhh
  10. G

    Eti kwa sababu majina ya watoto wetu yamefanana ameanza kutengeneza mazingira ya mapenzi

    Yaani huwa nawashangaa sana wanaume za watu wanaetegwa alafu wanaona big deal,yaani mngekuwa mnajua wake za watu tunavyotongozwa na wanaume wa maana kuliko walituoa ila tunakumbuka kiapo na kumkimbia shetan. sa ww kutegwa tu ivyo ushapanick. ukiwa na watano wanaokutega c utakuwa chizika na mkeo...
  11. G

    "Wa Mikoani", Ni Kasumba ama ina maana gani?

    dar ni jiji. japo yapo mengine kama arusha na mwanza. ila dar ndo kubwA. dont be offended.
  12. G

    Usione mwanaume katulia kwenye ndoa ukajua kaendewa kwa mganga,uganga tunao wenyewe wanawake....

    lol....yaan wakati mimi kucha zinakatika kukupikia. unaenda kukunwa mgongo na nyumba ndogo. ndugu tumeoana. ndo maana kanisan wote tuliapa. la sivyo wanaume wangekuw hawaapi. i do nob of the above kumridhisha mume . tumeagizwa upendo na sio utumwa. anaona upendo hautoshi chapa lapa......unaweza...
  13. G

    Mtoto wa Waziri David Mathayo, arekodi Video chafu

    tatizo watanzania hatupendi kuwa wakweli. wengi wenu hapa mmeanza ngono mpm kama mchezo wa baba na mama. then tunadingizia kizazi cha sasa ni muendelezo tu wa kizazi kilichopita. tafauti ni technolojia. cha muhimu wazazi wajifunze kuongea na watoto wao kuhusu ngono salama. cse penda usipende...
  14. G

    Msaada wa kuchagua engagment na wedding ring

    my dia. R1500 kwa engagement ring ni ndogo. ina maana yale mawe unayoyaonaga kwenye pete kama tanzanite , diamonds n.k yatakuwa feki yaan vioo tu. izo ulizoonyesha hapo kama stones ni real then huwez pata. nenda kwa masonara ukaangalie pete inayoendana na budget yako. nenda gold street upite...
  15. G

    Jipatie nguo za ukweli mtumba kwa ajili ya mwanao

    bei zenu ni kuanzia sh ngap. bei ya chin na ya juu
Back
Top Bottom