BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,217
kweli wadada wameamua... valentine hawataki maua tena na vichocolate ni kitu cha commitment, tangaza engagement na ndoa juu!!!!
bado naruhusiwa kuchagua zawadi.....?
Yeeeeeeeeeeeeeeec
mwenzako kawahi wewe unasubiri nini
Mi nipo nipo kwanza... nasubiri mdada ndo antokee, nshachoka kuanzisha mimi
Habari za jioni wadau,
Samahani na nlikua naomba msaada wenu katika selection ya engagement ring na wedding ring mana mimi ni mgen katika hii sekta na mtarajiwa wangu kaniambia chochte ntakachochagua ataridhika nacho ila bei yangu less than R1500 kwa pete 1.
Ntashukuru sana kwa msaada ndugu zangu.
Msaada wako ni untajie image gani na pete ipi iliotulia na ntashukuru mkitaja base na bei yangu nliotaja hapo juu na ambacho mnaona ipi itafaa kwa wedding na ipi for engagement.
dah ngoja niifikilie zawadi gani itanifaa kutoka kwa polisi.....
hahha mtajioa wenyewe... hamna machi kabla ya zoezi!!!