nani alithibitisha kwamba kaiba??muulizeni mwenyekiti wake kuhusu Richmond kama mtapata majibu!MZEE wa watu hajasema chochote kazi kumuhukumu tu kwa choyo na wivu!chama kinajua nani kitamsimamisha kwa maslahi ya taifa hivyo tuwe na subira!
navyojua Mimi,polisi wangetekeleza majukumu yao kwa urafiki na taratibu,raia wamekua wanaona polisi kama mnyama wa kuogopwa,lililofanyika halikua sahihi either side!nimeshuhudia siku moja watu wanakurupuka mbioo kisaa wameona gwanda!Rai Yangu..polisi wajitahidi kienforce sheria pasipo nguvu raia...
mmmmh!shida tuu nchi hii,hayaa bhana but kila mmoja akumbuke hututakufa na kwenda heaven or in hell na ofisi zetu wala fedha hata tukijilimbikizia vipi..wako wapi waliojidai kwenye magari ya kifahari?MZEE wa masauti?Iddi Amin?na wengne wengiii...Muogopeni Mungu
kwa mfano mdogo tu?hvi ukiambiwa unasafiri kwenda sehemu ya baridi kipi utaandaa kama si nguo zinazoendana na mazingira??kucngzia mfinyanzi that's not true at ol,no excuses kuna shida hapo
Nchi hii kila mtu anafikiria kula tu kujaza tumbo!!kumbukeni Mali ya dhuluma haidumu na kifo ndo mwisho wa kila kitu!unajua utakufa lin??a cha ujinga simamia haki
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.