Dereck Tito
Senior Member
- Feb 8, 2011
- 102
- 15
Sasa si mpaka manyinyiem yampendekeze kwani ana jeuri ya kuamua mwenyewe?Nchi inahtaji kiongoz shupavu,jasir ktk maamuz yake pia mwenye kutenda/kutekeleza anachokisea El sifa hizo anazo na anaweza mie sio mwnasiasa ila mwaka huu kura yangu ntapiga kwa Lowassa