Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,082
- 2,358
Kuna mtu kitambo flani alinitosa bila sababu.Sasa juzi ameanza kurudisha mawasiliano nikamdadisi sababu za kunitosa kipindi kile akadai eti ni vile mimi sio msabato mwenzake najiuliza hivi dini nayo ina matter katika mahusiano ya kimapenzi.
Naomba kufahamishwa
Naomba kufahamishwa