Mbele ya uso wa kifo viumbe hai wote ni sawa.Kifo hakijali hali ya maisha au madaraka uliyonayo.zamu yako ikifika kwasababu yoyote utaenda na aliyepangwa kuzaliwa atazaliwa.Kukaa kufikiri kua wattu wanakufa kwasababu ya kufanya mabaya au kuua wengine uko nikujielekeza vibaya kwasababu iyo ni...
Anataka kupangia watu,yeye nani anampangia maisha yake.Ukisikiliza hawa wana harakati wa bongo unaona jinsi gani tuna ufinyu wa kufikiri.Wanatabia yakulazimisha maadui zao wawe ni maadui wa kila mtu.Watanzania wanaweza kua wajinga ila sio kiasi chakuwafanya wasijue namna yakuishi na kuchagua...
Sema wafuasi wa chadema maana wao ndio akili zao ni pungufu wanaambukizana ujinga.ni mjinga tu ndiye anayeweza kuichukia nchi yake na timu yake ya taifa kwasababu za kisiasa.
wengi wanachangia mada kwa mihemko.Hawana akili yakuwaza kama wewe ndo maana huyo polepole nawenzake wanajua akili zetu ndo maana wanajiongelea tu wakijua kuna ambbao wanaamini maneno matupu.
Aliyetoa tuhuma ndiye mwenye jukumu la kuthibitisha hayo madai.Ukipenda kusikia kile unachopenda kukisikia bila kutumia akili zako kutafakari kuna uwezekano mkubwa ukalishwa na kuamini jambo ambalo pia sio sahihi.Ukiwa na akili timamu huwezi kua binadamu wakuamini maongezi ya mtu bila prove...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.