Recent content by Giftedman

  1. Giftedman

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Habari za muda huu wana JF Ningependa kushea nanyi kitu ambacho kitakua msaada kwa wote wanaojiandaa na usaili siku za ivi karibuni maana taratibu zimebadilika ili kuweza kuendana na matakwa ya PSRS nimeona huu uzi JF nikaona ni vyema niwasogezee wapambanaji ili muweze fika nchi ya ahadi ya...
  2. Giftedman

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hongera sana Mungu akutangulie katika majukumu yako Mapya
  3. Giftedman

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    hapo kwny mwaka wa ajira n 2023 typn error
  4. Giftedman

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Me pia nilipta katika icho kipindi ila sikukata tamaa ,Nilifanya sahili kadhaa PCT - Fail ORCI- Fail MNH- Pass to Oral 24/09/2022 NAOT- Fail Then Placement zikatoka z MNH sikuwepo miongoni mwa waliochanguliwa still niliendelea kuomba kazi endapo Tangazo lolote litatokea 2024-July ...
  5. Giftedman

    China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    Nimepata muongozo mzuri [emoji120]
  6. Giftedman

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hongera sana ,,ukawe mtumishi mwema
  7. Giftedman

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Asante sana , Na we zamu yako inafata
  8. Giftedman

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    ukishafanya post husika,,Endapo PSRS watahitaji mtu mwenye Qualification kama zako unakua wakwanza kuwa considered kabla ya wao kuitisha usaili watu wengine wagombanie..kwa maana nyingine unakua umejiekea akiba ya baadae mda wowote unalamba asali
  9. Giftedman

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    nimefnya interview mwezi wa 9 mwaka jana Mwezi wa saba mwaka huu nikapata placement
  10. Giftedman

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    selected for oral - Web Selected for oral- App
  11. Giftedman

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wote tulilamba sehemu nzuri 2 MNH 1 OCRI 5 MOI
Back
Top Bottom