HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mkuu application au website gani inatoa additional notes za kujisomea mkuu
Hakuna hiyo ishu zaidi ya material ya kawaida ya kada yako.

-Stick kwenye mambo ya practice ga kada yako
-Pitia module za Chuo hasa zinazohusu Practice
-Pitia Job descriptions zichimbe kwa undani, humo kuna maswali
 
Mkuu TANAPA ilikuaje hujatoa uzoefu
😁😁Tanapa ilikua balaa, na katika hizi saili za PSRS kama kuna mtu bado yupo chuo, ajitahidi kutunza sana notice na awe mwepesi wa kuzijua terminology ngumu ngumu maana swali linaweza kuwa laisi saaana ila ukashindwa lijibu kwa kushindwa kulielewa na kuhusu vipimo vya afya 😅 huko ndo kuna balaa kama una matatizo ya magonjwa, hasa magonjwa sugu kama VVU,KANSA N.K, lakini pia wenye makovu makubwa, ambao walishawahi kufanyiwa operesheni, kikubwa wao wanataka mtu aliekamilika na ukaguzi unafanyika mwili mzima, kuhusu placement sijui kikubwa ni kumuomba mwenyezi mungu tu maana huwezi jua wenzagu walijibu kivipi
 
Habari za muda huu wana JF Ningependa kushea nanyi kitu ambacho kitakua msaada kwa wote wanaojiandaa na usaili siku za ivi karibuni maana taratibu zimebadilika ili kuweza kuendana na matakwa ya PSRS nimeona huu uzi JF nikaona ni vyema niwasogezee wapambanaji ili muweze fika nchi ya ahadi ya asali na maziwa [emoji4]

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

All the best Champion [emoji1666]

Mungu Awatangulie
 
Kwahiyo sasa hivi utumishi wamesambaa kalibia nchi nzima kwenye usaili huu wa Afya?🤔
Yn mpaka watu wa afya na waalimu wamalize mambo yao, aisee sisi wngn tuwe wapole mpaka mwezi wa 11 ndio tutaanza kukumbukwa.
Na hapo n mpaka pdf za replacement za waalimu na watu wa afya zipite ndio na sisi tukumbukwe.
 
Yn mpaka watu wa afya na waalimu wamalize mambo yao, aisee sisi wngn tuwe wapole mpaka mwezi wa 11 ndio tutaanza kukumbukwa.
Na hapo n mpaka pdf za replacement za waalimu na watu wa afya zipite ndio na sisi tukumbukwe.
😂😂😂Aloooh mbona hatari hii
 
Shwaaaaah
PSRS instagram 2.jpg
 
Back
Top Bottom