Mimi ni kijana nina umri wa miaka 25 pia ni mtumishi wa Serikali katika sekta fulani natafuta msichana wa kuishi nae mwenye umri wa kuanzia miaka 18-22 awe tayari kuwa mama wa nyumbani mwaminifu pia akubaliane na kupima VVU.
Wanajamii naombeni msaada,
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 23 nina mpenzi wangu nampenda sana lakini kila napokutana nae kwa lengo la kufanya mapenzi hisia huwa zinapotea kabisa. Lakini nikikutana na mwanamke tofauti na yeye ninauwezo wa kwenda hadi raundi tano hivi inakuaje.
Naomben ushauri
mtandao ambao uliaminika kwa kuwa na uwezo mkubwa sana
hasa katika enternet na mawasiliano kwa ujumla
iv sasa imekuwa jambo la kawaida kukaa siku nzima au masaa bila kufanya mtu anachokitaka kama mawasiliano
voda kiukweli inapendwa sana na watu ni vyema wakajirekebisha ili heshima yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.