Ni yupi mwenye mapenzi ya kweli?

Mapenzi ya kweli yapo kwa jinsia zote.

Wote tuna mioyo na hisia, we happen to love tena deeply kabisaa....nadhani kwa usawa kabisa ila mwanamke ndio huweza kuonyesha nje.
 
Habari wana jukwaa .

Naomba niwashirikishe jambo moja kisha tulipatie jibu lenye uhakika.

Nina shauku ya kufahamu ni yupi mwenye mapenzi ya kweli kati ya mtu mke na mtu mume ?

Ni mara nyingi nimejiuliza swali hili lakini mpaka sasa bado sijalipatia jibu na nimeona ni vyema nikaliweka jamvini tujadiliane kwa pamoja.

Naamini hii ni nyumba ya watu wenye fikra pevu hivyo ninaimani leo naweza pata jibu la swali lililonitatiza kwa kipindi kirefu.

Naomba tujadili kwa upeo wa juu ikiwezekana tupate na ushahidi wa mjadala wetu na uzoefu tulionao bila ya kuwaonea watu wa upande mmoja.

Ninaimani mjadala utakua na nidhamu nautulivu pasipo lugh a za kuwakwaza wengine katika kile wanachoamini
Karibuni nadhani swali linaeleweka.
Kiongozi ulivyokuwa unaandika huu Uzi ulikuwa umepiga kinywaji kilichokatazwa na mamlaka (kiroba)????.....
 
Mwanaume ndio ana mapenzi ya kweli anapoa amua kulipia pesa nyingi ili muwe nae karibu huku akiendelelea kukuhudumia na kukufanya wew uwe na furaha
 
Du ni kweli hizo mahari nikiamua ninunue hata gali si upendo mkubwa ndio maana nalipia mahari vudume juuuuuuu
Mwanaume ndio ana mapenzi ya kweli anapoa amua kulipia pesa nyingi ili muwe nae karibu huku akiendelelea kukuhudumia na kukufanya wew uwe na furaha
 
Back
Top Bottom