Recent content by Gideon Mwasabwite

  1. G

    Hivi mmiliki wa Nyanza bottlers ni nani?

    Inamilikiwa na Sumaria Group Tanzania Limited kwa 60% na CMG 40%. Sumaria ni Group of companies linalomilikiwa na Wahindi raia wa Uingereza, CMG ni kampuni ya Gachuma.
  2. G

    Ndivyo walivyo

    Siwezi kushangaa wana CCM wanapobadilika hata baada ya hapo awali kuonyesha wazi wazi kuwa wanataka serikali tatu. Haka ni kamfumo ambako kamo ndani ya chama hiki ingawa wengi wataona ni mageni haya kwao. Sishangai kuona hata wale ambao tuliwaamini kuwa ni wazalendo kwa Taifa hili nao leo...
  3. G

    Ndivyo walivyo

    Siwezi kushangaa wana CCM wanapobadilika hata baada ya hapo awali kuonyesha wazi wazi kuwa wanataka serikali tatu. Haka ni kamfumo ambako kamo ndani ya chama hiki ingawa wengi wataona ni mageni haya kwao. Sishangai kuona hata wale ambao tuliwaamini kuwa ni wazalendo kwa Taifa hili nao leo...
  4. G

    Kutoka Mahakamani: Hukumu ya kesi ya Zitto dhidi ya CHADEMA!

    Yericko Nyerere Kuna mtu facebook anasema kalamba sakafu. Hii imekaaje ndugu?
  5. G

    Bom

    Jukwaa la picha ndio lipi mkuu!!
  6. G

    Dar: Bomu laonekana makutano ya Barabara za Morogoro na Shekilango!

    Kuna mtu kanipigia simu muda si mrefu anasema maeneo ya Shekilango jijini Dar kuna kitu kinachohisiwa kuwa ni bomu. Mwenye taarifa kamili atujuze kama upo eneo la tukio.
  7. G

    Mgimwa alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa gani?

    Nani kakwambia kuwa dhambi zako ulizozifanya ukiwa hai zinaondolewa kwa kuombewa ukifa? Ukiambiwa tubu leo mgeukie Mungu wako geuka, usijidanganye kuwa kuna watu wataomba ili upunguziwe adhabu ya moto na kiberiti.
  8. G

    Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

    Ina maana mkakati wa Wasira wa kuiua CHADEMA ndo umekwama tena. Duuh, sasa sijui kama ingetokea wanafanya uchaguzi mwingine angewaambia wamchague kuwa mjumbe wa mkutano mkuu ili afanye nini....!!!!:A S 103::A S 103::A S 103:
  9. G

    Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

    Ina maana mkakati wa Wasira wa kuiua CHADEMA ndo umekwama tena. Duuh, sasa sijui kama ingetokea wanafanya uchaguzi mwingine angewaambia wamchague kuwa mjumbe wa mkutano mkuu ili afanye nini....!!!!
  10. G

    Ukifumania kwa mtego na kuua jua imekula kwako....!

    Kama ndivyo ilivyo sheria naamini wengi sasa wakiwa na mashaka na wenzi wao, watakuwa wanatembea na visu kiunoni ili waue pasipokuhesabiwa makosa. Ukiona una mashaka nae mwambie aondoke tu kuliko kukonda kwa mawazo na kufikiria uue vipi ili usitiwe hatiani.
  11. G

    Kijiji cha misukule feki chafichuliwa Bagamoyo, wachungaji feki wadaiwa kuwatumia kuwahadaa waumini

    Tatizo watu hawamwabudu Mungu wanaabudu watu na miujiza yao. Hawajui kuwa hata shetani nae ana miujiza na hutumia udhaifu wao kuwaangamiza. Amelaaniwa amtegemea mwanadamu, na kumfanya mwanadamu kuwa kinga yake na moyoni mwake amemwacha Bwana. Acha wawaburuze kwa kuwa haja yenu ni kuona miujiza.
  12. G

    Tume ya Uchaguzi yakiri haiko uhuru! Yataka iitwe Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, iwe chini ya Bunge

    Nahisi sasa somo la demokrasia liumeanza kuingi NEC. Maana mtangulizi wa Jaji Lubuva alikuwa akishupaza shingo kuwa hii tume ni huru, na kama mnataka isiteuliwe na rais mnataka nani ateue!! Nahisi ameona sasa kile Watanzania, asasi za kiraia, vyama vya siasa walichokuwa wanataka kifanyike ili...
  13. G

    Unamfahamu DCI Manumba wewe?

    Kwa namna alivyomtendea Mwakyembe huyu jamaa naweza kuhuzunika hata akifa Fisi kuliko huyu. Kapotosha, kakanusha, na sasa anaona aibu, yaani aki... sijui nitakula nini siku hiyo.
  14. G

    Simanjiro: James Millya vs Ole Sendeka

    Nyie tafuteni propaganda za kuwahadaa Watanzania pasipokujua kuwa hawahadaiki, badala ya kufikiria nini mfanye ili angalau mwe na cha kuongea kwa miaka 51 ya uhuru wa tanganyika chini ya lindi kubwa la ujinga na umasikini uliokithiri pamoja na huduma duni za afya zinazotolewa chini ya...
  15. G

    Simanjiro: James Millya vs Ole Sendeka

    Nyie tafuteni propaganda za kuwahadaa watanzania pasipokujua kuwa hawahadaiki, badala ya kufikiria nini mfanye ili angalau mwe na cha kuongea kwa miaka 51 ya uhuru wa tanganyika chini ya lindi kubwa la ujinga na umasikini uliokithiri pamoja na huduma duni za afya zinazotolewa chini ya ufadhili...
Back
Top Bottom