Bom

Bom

joe.j

New Member
Joined
Feb 26, 2010
Posts
3
Reaction score
0
Wadau Habari zilizosikika hivi punde ni kwamba kuna bom limeonekana maeneo ya makutano ya barabara ya shekilango na morogoro na eneo hilo kwa sasa liko chini ya ulinzi kwa ajili ya harakati za kuliondoa bom hili na kuepusha raia dhidi ya madhara amabayo yangeweza kutokea
 
Kweli umepata mstuko mpaka habari ya kawaida unaweka kwenye jukwaa la picha?
 
Limesha torewa lilionwa na aliyekuwa akipita eneo hilo ndipo akawahoji ma dreva tax wapale kisha akawasauri kutoka pale na utaratibu wakulitoa ukafanyika.
huyo huyo ndiye kalitega
😛opcorn:
 
Sinema za kova.. Polisi ndo anakuja kugundua bomu? ... Maswali mengi hayana majibu hapo! Duh!
 
Sinema za kova.. Polisi ndo anakuja kugundua bomu? ... Maswali mengi hayana majibu hapo! Duh!

Siku hizi Kova ameishiwa na matukio ya kuuzia nyago kwenye tv, sasa inahitaji creativity ili kupata habari ya kutokea, asante polisi kwa ubunifu.
 
Wadau Habari zilizosikika hivi punde ni kwamba kuna bom limeonekana maeneo ya makutano ya barabara ya shekilango na morogoro na eneo hilo kwa sasa liko chini ya ulinzi kwa ajili ya harakati za kuliondoa bom hili na kuepusha raia dhidi ya madhara amabayo yangeweza kutokea

labda mimi sikuelewa au kiswahili kigumu
 
Back
Top Bottom