Recent content by Gidamarirda

  1. Gidamarirda

    Msajili wa Vyama vya siasa akutana na Viongozi wa CHADEMA

    Dalili za kukabidhi kijiti hizi
  2. Gidamarirda

    Msajili wa Vyama vya siasa akutana na Viongozi wa CHADEMA

    Sasa Bwana Mutungi ana match nguo na makamanda kuna nini nyuma ya pazia?
  3. Gidamarirda

    ACT Wazalendo wapendekeza suluhisho la kukabiliana na uhaba wa mafuta, CHADEMA wanazunguka kulaumu

    Ni mara ngapi vyama vya upinzani na wadau wengine wamekua wakitoa mapendekezo mazuri lakini hayakufanyiwa kazi na serikali? Kama wangetaka kupata mapendekezo wangeyachukua kabla ya kufanya maamuzi ya kupandisha bei, ukishafanya maamuzi (mazuri au mabaya) kinachosubiriwa na matokeo (mazuri au...
  4. Gidamarirda

    Nimetoka ukweni Kigoma, ila kama hii ndiyo aina ya wazee acha wabaki na watoto wao!

    Kaka Mkubwa umeonesha hekima kubwa sana kwanza kujizua na kunyamaza hata wakati ambao ungestahili kuonesha reaction yako, na ukumbuke hata wazazi ni wanadamu wanakosea, so kwa hekima na busara hizo hizo unaweza kuishi na mke wako na kuchukuliana na ndugu zako hao, usimwadhibu mwanamke wako kwa...
  5. Gidamarirda

    Zanzibar: Hekta 6,000 zilizopo Bagamoyo ni mali yetu

    Kwa maelezo yako ndugu Mayalla, una maanisha Mkataba wa "The Zanzibar Treaty" ndo uliowapa Zanzibar haki ya Kumiliki eneo Tanganyika? Makubaliano ni ili walindwe na ndicho ambacho Tanganyika inafanya na si kumilikishwa eneo, kama ingalikuwa hivyo basi Zanzibar wangepaswa kuwa na eneo na Kenya...
  6. Gidamarirda

    Kitwanga: Kuna kundi linalomshauri vibaya Rais Samia

    Hivi ndo kusema kwamba Rais wetu anashauriwa na kila mtu anayejisikia kumshauri au anamaanisha jopo rasmi linalomshauri Rais wanafanya haya?
  7. Gidamarirda

    Rais Joe Biden azuru Kyiv, Ukraine Februari 20, 2023

    Maswala kama haya ni nyeti na usiri ni kitu cha muhimu, wangeweza kutangaza hiyo safari ingekua na tension kubwa sana lakini wamejiandaa kiusalama na kujiridhisha kwamba wanaweza kuingia Ukraine bila dhara lolote, ndio maana imekua ghafla kwetu sisi lakini kijasusi ni mpango wa muda mrefu...
  8. Gidamarirda

    Rais Joe Biden azuru Kyiv, Ukraine Februari 20, 2023

    Yupo live muda huu, anazungumza na waandishi wa habari
  9. Gidamarirda

    Nini sababu ya moyo wa kila kiumbe anaetoka kwenye kingdom animalia kuwa upande wa kushoto??

    44mg44 ndugu naomba ufahamu kwamba kuna watu ambao huzaliwa wakiwa na maumbile tofauti japo ni wachache sana, kama ukifuatilia anatomia na fiziologia kuna kitu kina Dextrocardia na Situs Inverses, dextrocardia apex ya moyo huwa upande wa kulia na situs inversus wanakua na moyo umekaa upande wa...
  10. Gidamarirda

    Kulwa Masanja Isenge anyakua milioni 5 katika Shindano la 'Stories of change' 2022

    Sauti naona imekata, mafundi mitambo Tafadhali! Tunataka kusikia kinachojiri Huko
  11. Gidamarirda

    SoC02 Umuhimu wa ultrasound kwa wajawazito

    ni wazo zuri lakini ni mpaka tuwe na idadi inayoridhisha ya wataalamu katika vitu vyetu vya afya,
  12. Gidamarirda

    SoC02 Umuhimu wa ultrasound kwa wajawazito

    Diploma ya Radiographia (DDR) inahitaji ufaulu wa kuanzia alama C kwenda juu kwa Masomo ya Sayansi huku Fizikia ikiwa ni somo kuu (Major subject).
Back
Top Bottom