Recent content by gibral01

  1. gibral01

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Anayetaka kuja Lindi Sent using Jamii Forums mobile app
  2. gibral01

    Je, ni sahihi kupitisha Nyaya za Umeme juu ya nyumba bila ridhaa ya mwenye nyumba?

    Ni sahihi kupitisha nyaya za umeme juu ya nyumba bila ridhaa ya Mwenye Nyumba? Na Kama ikitokea nyaya zimepita kwenye uwanja wa mtu na baadae akataka kujenga nyumba sehemu hiyo atafanyaje? Naomba ufafanuzi ili wote tuwe na uelewa wa pamoja. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. gibral01

    Tatizo la rangi ya bluu katika laptop

    Nimewasha laptop yangu ikawaka vizuri, ila inaonesha rangi ya bluu kioo chote, nashindwa Cha kufanya. Tatizo ni nini? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. gibral01

    Veta ni muhimu

    Kuna kundi kubwa la wanafunzi wanaomaliza STD 7 na Form 4 na kushindwa kuendelea na masomo. Veta kwao ni suluhisho, vinginevyo bangi na wizi mtaani vinazidi.
  5. gibral01

    Musiba

    Naomba CV ya Musiba
  6. gibral01

    Elimu ya Tanzania

    Wazazi wasiwe bize na utafutaji Maisha. Pia wawakumbuke wanafunzi kwa
  7. gibral01

    Sheria Ya Utumishi wa umma

    Naomba mwenye Sheria ya Utumishi wa umma ya mwaka 2002 au kanuni zake za mwaka 2003 anisaidie
  8. gibral01

    Car4Sale Gari inauzwa ml 3.5

    uko wapi
Back
Top Bottom