Nahitaji kumfanyia Application mdogo wangu katika ngazi ya Stashahada/Diploma kupitia NACTE

mhuri25

JF-Expert Member
Sep 3, 2016
2,667
3,455
Wakuu habari ya wakati huu, samahani nahitaji kumfanyia Application mdogo wangu katika ngazi ya Stashahada/Diploma kupitia NACTE nimekutana na maelekezo yanasema 10,000/= per Institution na sio per Institutions asa wasiwasi wangu ni kuwa ina maana kwa kila taasisi au chuo nitakachochagua nalipia 10,000/= it means kama nitachagua Vyuo vitatu itanilazimu nilipie 30,000= au inakuwaje hapo, maana natambua ilikuwa ni shilingi 10,000/= kwa taasisi au Vyuo vitano miaka michache nyuma!!!

Ombi langu Kama kuna mtu humu ameshafanya maombi au anaelewa utaratibu mzima anisaidie tafadhari natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu!!! nimeambatanisha na kipande Cha maelekezo hapo chini...
Screenshot_20190729-212906~2.jpeg
 
Wakuu habari ya wakati huu, samahani nahitaji kumfanyia Application mdogo wangu katika ngazi ya Stashahada/Diploma kupitia NACTE nimekutana na maelekezo yanasema 10,000/= per Institution na sio per Institutions asa wasiwasi wangu ni kuwa ina maana kwa kila taasisi au chuo nitakachochagua nalipia 10,000/= it means kama nitachagua Vyuo vitatu itanilazimu nilipie 30,000= au inakuwaje hapo, maana natambua ilikuwa ni shilingi 10,000/= kwa taasisi au Vyuo vitano miaka michache nyuma!!!

Ombi langu Kama kuna mtu humu ameshafanya maombi au anaelewa utaratibu mzima anisaidie tafadhari natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu!!! nimeambatanisha na kipande Cha maelekezo hapo chini...View attachment 1166586
Sema mimi mwenyewe nimefeli naomba kusoma stashahada hv kwanini mnapenda kudanganya
 
Wakuu habari ya wakati huu, samahani nahitaji kumfanyia Application mdogo wangu katika ngazi ya Stashahada/Diploma kupitia NACTE nimekutana na maelekezo yanasema 10,000/= per Institution na sio per Institutions asa wasiwasi wangu ni kuwa ina maana kwa kila taasisi au chuo nitakachochagua nalipia 10,000/= it means kama nitachagua Vyuo vitatu itanilazimu nilipie 30,000= au inakuwaje hapo, maana natambua ilikuwa ni shilingi 10,000/= kwa taasisi au Vyuo vitano miaka michache nyuma!!!

Ombi langu Kama kuna mtu humu ameshafanya maombi au anaelewa utaratibu mzima anisaidie tafadhari natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu!!! nimeambatanisha na kipande Cha maelekezo hapo chini...View attachment 1166586
Umefanikiwa?
 
Utaratibu upo hivi ukilipia 10,000 utapata nafasi ya kuchagua chuo kimoja (kwa category husika ya diploma)
Ukiongeza 10,000 nyingine watakupa nafasi ya machaguo mawili zaidi, kuyafanya jumla kuwa machaguo 3 ukiongeza na lile la kwanza
Basically kwa kila 10,000 utakayongeza baada ya hapo, utapatiwa machaguo mawili zaidi
 
Back
Top Bottom