gibral01
Member
- Jan 13, 2013
- 57
- 13
Nimewasha laptop yangu ikawaka vizuri, ila inaonesha rangi ya bluu kioo chote, nashindwa Cha kufanya. Tatizo ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app