Recent content by gibayi

  1. gibayi

    JamiiForums Tanzania Biblia ilivyookoa maisha ya mchezaji wa Chapecoense “Neto” kwenye ajali ya Ndege

    BWANA WETU NI MPONYAJI .
  2. gibayi

    JamiiForums Tanzania Serikali yajibu Hoja za Kivuko cha MV Dar es Salaam na Uuzwaji wa Nyumba Zake

    Kama tunauwezo tumtumbue sisi MUNGU hatumbui
  3. gibayi

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya kujiteka kufanikisha operesheni kata funua CHADEMA itafanikiwa?

    Hii nikuonyesha kuwa upinzani umeishiea na hoja na hii ndio kata funua hii ni hatar sana kama wanajua kujiteka kunasiku watateka kuweni macho
  4. gibayi

    JamiiForums Tanzania Ni nani anastahili kuwa MwanaJamiiForums bora wa mwaka?

    Yehodaya unamaaana gani unaposema wa kaskazini inamaana jamii wana upendeleo? Nashauri wrote tupige kura isinyeshe ubaguzi
  5. gibayi

    JamiiForums Tanzania Hoja: Halmashauri zote nchini zifutwe

    Mbona vitu Vinci hufanyiwa majaribio tufanyie hilo nalo
  6. gibayi

    JamiiForums Tanzania Sasa rasmi: Yusuf Manji atimuliwa Quality Plaza, apewa saa 24

    Tumbua tumbua inaendelea hatuangalii alikuwa ccm au vinginevyo watu wapate shida had I wrote tuwe pamoja
  7. gibayi

    JamiiForums Tanzania Nimemwendea mke wangu kwa mganga!

    Komaa sana dawa likiisha utapata shida endelea kumwendea had I kufa usipofanya hivyo utakuja kuipatapata ya madawa
  8. gibayi

    JamiiForums Tanzania John Heche: Kesi yenye dhamana inawezekana vipi kunyimwa dhamana?

    Acha waliosomea sheria wafanye kazi zao
  9. gibayi

    JamiiForums Tanzania John Heche: Kesi yenye dhamana inawezekana vipi kunyimwa dhamana?

    Mi nitatulia niangalie hatima yake
  10. gibayi

    JamiiForums Tanzania Profesa Lipumba nusura achezee kichapo wilayani Ruangwa-Lindi

    Haeleweki acha wamzomee
  11. gibayi

    JamiiForums Tanzania Nimekamatwa na kupigwa na mgambo baada ya kuwapiga picha wakifukuza machinga

    Sio vizuri haki za binadamu wako wapi?
  12. gibayi

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Polisi ni Kama ina Laana, Kumpiga Mzee kama huyo Nyamongo, Siyo sawa kabisa

    Hii sio tabia njema wazee wanataka haki kupigwa c suruhisho
  13. gibayi

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje niache ARV?

    Baada ya ushauri wa wrote nenda Hosp update ushauri zaidi
  14. gibayi

    JamiiForums Tanzania Zitto amtembelea Lema gerezani baada ya kunyimwa dhamana

    Tusubiri hatima yake
Back
Top Bottom