Profesa Lipumba nusura achezee kichapo wilayani Ruangwa-Lindi

Chinga One

JF-Expert Member
May 7, 2013
11,439
12,294
Prof Ibrahim Lipumba azomewa wanachama wa CUF huko Ruangwa mkoani Lindi , wavunja ofisi aliyo fikia Lipumba aokolewa na Polisi,, muda huu ,mamia ya wanachama washangilia mitaani huku wakiimba nyimbo za kumkashifu :Hatukutaki kibaraka wa CCM.

Jitihada zinafanyika ili kupata taarifa za kina kutoka kwa viongozi wa CUF wilayani humo kwani mpk sasa simu zao hazipokelewi.

www.facebook.com/search/top/?q=julius%20s%20mtatiro%20posts
 
Ruangwa hakuna CUF ngangari, kuna waendesha bodaboda wa chadema tu. kijiwe cha CUF kipo sokoni pale wanakunywa kahawa tu hawana lolote......kama wao wako vzr si wangeenda kudai ushindi wao pale halmashauri walivyoporwa na ..........mbona waligwaya. waache KUTUMIKA
 
Kwa hiyo Ile CD kuwa analala Ofisi za Buguruni imechuja? Siku hizi press conference za Mtatiro na vibwagizo vyake vya Facebook kuhusu Lipumba havionekani
 
1480784697075.png
 
Back
Top Bottom