Nimekamatwa na kupigwa na mgambo baada ya kuwapiga picha wakifukuza machinga

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,596
2,000
Leo asubuhi nimetokea mabatini ninapoishi na kuja igogo..nilipokaribia maeneo ya uwanja wa mchafukoga nikaona gari na watu wengi wapo hapo uwanjani...nikahisi ni ile ishu ya MACHINGA.

Nikaamua kusogea ili nijiridhishe.kumbe kweli vitu vingi vya machinga vinatupwa hapo chini ya ulinzi wa Polisi na mgambo.kwa hiyo nikaona ngoja kwanza nichukuwe picha ndipo nije hapa niandike nikiwa na ushahidi wa picha.
Nilipochukuwa picha ya tatu ghafla askari akaniona na kunikimbiza...nikaona isiwe shida bora anikamate kwani naweza itwa mwizi.

Aliponikamata mgambo wakaja na kunipiga mikanda huku simu wamechukuwa.. Baadaye nikapandishwa kwenye gari na kupigwa mikanda...kama sikosei jina la polisi liliandikwa.Alexidilia ila sina uhakika kama nimelipatia.

Baada ya gari kuanza kuondoka nikaanza kuwambembeleza sana waniachie. Askari akaniomba rushwa ya sh.50000. Nikawaambia Nina shi.8000.wakadharau sana na safari ya kuelekea Polisi ikaanza huku nikielezwa kuwa mimi ni chadema na nimetumwa.. Dreva akaniambia hiyo kazi wao wametumwa na Maghufuli kwa hiyo watanionesha kazi

Kufanya story fupi nilipofika Pepsi wakawa wameniachia ila tayari mikanda nimekula.

Umeshamuonyesha Mama nyumbani? Siku nyingine na wewe warudishie!
 
Mwelewa

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
2,345
2,000
Mkuu pole hayo yaliyokutokea ni muendelezo wa vitendo vya kionevu vya jeshi la polisi.

Kumbuka wewe ni raia halali wa nchi hii na unayo haki kutafuta na kusambaza taarifa sasa wao kukupiga kwasababu unachukuwa picha huo uonevu wa wazi tu.

Mkuu usife moyo....chuki za polisi kwa jamii zitakomeshwa tu. Muda utaongea
 
Selekwa

JF-Expert Member
Jul 7, 2013
723
500
Acheni kumsingizia Rais kwa vitu vinavyofanywa chini.
Acheni kutunga habari ili mradi tu iwe na bad image kwa Rais basi ndiyo furaha yako.

Hapo Mwanza kuna Serikali kamili na taratibu zake ktk kutekeleza majukumu yake.

Mwacheni Rais afanye mambo ya msingi ya nchi.

Naona sasa kila maana JF akijisikia tu kumsema Rais bila sababu yoyote Anafanya na hata credibility ya JF inazidi kufa kila siku

Mwisho JF utakuwa mtandao wa wambaye tu maana hakuna Facts
Slowly... True anasema aliambiwa na Dereva....inside the scenario
 
silasc

JF-Expert Member
Feb 10, 2013
3,353
2,000
Jifunze namna ya kupiga picha maeneo hatarishi(matukio). Lakini maeneo yasiyoruhusiwa usipige kabisa.
 
cDNA

JF-Expert Member
Nov 10, 2016
353
500
Kuna mtu aliweka uzi unazungumzia mjeda atoa kichapo kwa raia mmoja maeneo ya ardhi university...mleeta mada alikuwa ndani ya daladala. Member mmoja akashauri ni vizuri kuchukua picha ya tukio na mjeda ili kufikisha taarifa panapohusika. Sasa matokeo yake huwa ni zaidi ya hayo unapomchukua picha mjeda ktk hali ya amani au vurugu pasi na ridhaa yake.
 
kedekede

JF-Expert Member
Aug 21, 2016
4,617
2,000
Leo asubuhi nimetokea mabatini ninapoishi na kuja igogo..nilipokaribia maeneo ya uwanja wa mchafukoga nikaona gari na watu wengi wapo hapo uwanjani...nikahisi ni ile ishu ya MACHINGA.

Nikaamua kusogea ili nijiridhishe.kumbe kweli vitu vingi vya machinga vinatupwa hapo chini ya ulinzi wa Polisi na mgambo.kwa hiyo nikaona ngoja kwanza nichukuwe picha ndipo nije hapa niandike nikiwa na ushahidi wa picha.
Nilipochukuwa picha ya tatu ghafla askari akaniona na kunikimbiza...nikaona isiwe shida bora anikamate kwani naweza itwa mwizi.

Aliponikamata mgambo wakaja na kunipiga mikanda huku simu wamechukuwa.. Baadaye nikapandishwa kwenye gari na kupigwa mikanda...kama sikosei jina la polisi liliandikwa.Alexidilia ila sina uhakika kama nimelipatia.

Baada ya gari kuanza kuondoka nikaanza kuwambembeleza sana waniachie. Askari akaniomba rushwa ya sh.50000. Nikawaambia Nina shi.8000.wakadharau sana na safari ya kuelekea Polisi ikaanza huku nikielezwa kuwa mimi ni chadema na nimetumwa.. Dreva akaniambia hiyo kazi wao wametumwa na Maghufuli kwa hiyo watanionesha kazi

Kufanya story fupi nilipofika Pepsi wakawa wameniachia ila tayari mikanda nimekula.
Weka picha unatandikwa na mgambo mkuu,la sivyo ni uwongo na umbeya!
 
DAFU NA NDIMU

JF-Expert Member
Aug 20, 2016
3,487
2,000
Acheni kumsingizia Rais kwa vitu vinavyofanywa chini.
Acheni kutunga habari ili mradi tu iwe na bad image kwa Rais basi ndiyo furaha yako.

Hapo Mwanza kuna Serikali kamili na taratibu zake ktk kutekeleza majukumu yake.

Mwacheni Rais afanye mambo ya msingi ya nchi.

Naona sasa kila maana JF akijisikia tu kumsema Rais bila sababu yoyote Anafanya na hata credibility ya JF inazidi kufa kila siku

Mwisho JF utakuwa mtandao wa wambaye tu maana hakuna Facts
Mkuu, watu walioko chini ya Rais, wakifanya vizuri anasifiwa Rais, wakivurunda, anapondwa Rais.
Anapofurahia kushangiliwa/kusifiwa asikasirike kupondwa/kukosolewa kutokana ma matendo ya watu walioko chini yake.
 
MLAU

JF-Expert Member
Aug 23, 2007
4,726

OK nimekuelewa.But mtoa mada anadai kilichotokea Mwanza ni maagizo ya Rais Magufuli ndiyo nimesema tuacha kumsingizia Rais kwa kila jambo linalofanywa chini kuwa ni Rais ameagiza wakati kila sehemu kuna mamlaka za uongozi.
 
Rwankomezi

JF-Expert Member
Sep 5, 2013
2,094
2,000
Leo asubuhi nimetokea mabatini ninapoishi na kuja igogo..nilipokaribia maeneo ya uwanja wa mchafukoga nikaona gari na watu wengi wapo hapo uwanjani...nikahisi ni ile ishu ya MACHINGA.

Nikaamua kusogea ili nijiridhishe.kumbe kweli vitu vingi vya machinga vinatupwa hapo chini ya ulinzi wa Polisi na mgambo.kwa hiyo nikaona ngoja kwanza nichukuwe picha ndipo nije hapa niandike nikiwa na ushahidi wa picha.
Nilipochukuwa picha ya tatu ghafla askari akaniona na kunikimbiza...nikaona isiwe shida bora anikamate kwani naweza itwa mwizi.

Aliponikamata mgambo wakaja na kunipiga mikanda huku simu wamechukuwa.. Baadaye nikapandishwa kwenye gari na kupigwa mikanda...kama sikosei jina la polisi liliandikwa.Alexidilia ila sina uhakika kama nimelipatia.

Baada ya gari kuanza kuondoka nikaanza kuwambembeleza sana waniachie. Askari akaniomba rushwa ya sh.50000. Nikawaambia Nina shi.8000.wakadharau sana na safari ya kuelekea Polisi ikaanza huku nikielezwa kuwa mimi ni chadema na nimetumwa.. Dreva akaniambia hiyo kazi wao wametumwa na Maghufuli kwa hiyo watanionesha kazi

Kufanya story fupi nilipofika Pepsi wakawa wameniachia ila tayari mikanda nimekula.
 
DAFU NA NDIMU

JF-Expert Member
Aug 20, 2016
3,487
2,000
OK nimekuelewa.But mtoa mada anadai kilichotokea Mwanza ni maagizo ya Rais Magufuli ndiyo nimesema tuacha kumsingizia Rais kwa kila jambo linalofanywa chini kuwa ni Rais ameagiza wakati kila sehemu kuna mamlaka za uongozi.
Sawa mkuu. Yawezekana pia hao watendaji ndo wanaomsingizia Rais kwa sababu mambo mengi yanafanywa kwa maagizo badala ya sheria. Mfano:
1. kusitisha kupandishwa madaraja na mishahara kwa watumishi wa umma.
2. kuzuia mikutano ya kisiasa nje ya jimbo la mbunge huku yeye akitamba ni mbunge wa nchi nzima.
3. polisi kuwanyang'anya silaha majambazi kwa njia mbalimbali
n.k
 
randez vous

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
895
1,000
Leo asubuhi nimetokea mabatini ninapoishi na kuja igogo..nilipokaribia maeneo ya uwanja wa mchafukoga nikaona gari na watu wengi wapo hapo uwanjani...nikahisi ni ile ishu ya MACHINGA.

Nikaamua kusogea ili nijiridhishe.kumbe kweli vitu vingi vya machinga vinatupwa hapo chini ya ulinzi wa Polisi na mgambo.kwa hiyo nikaona ngoja kwanza nichukuwe picha ndipo nije hapa niandike nikiwa na ushahidi wa picha.
Nilipochukuwa picha ya tatu ghafla askari akaniona na kunikimbiza...nikaona isiwe shida bora anikamate kwani naweza itwa mwizi.

Aliponikamata mgambo wakaja na kunipiga mikanda huku simu wamechukuwa.. Baadaye nikapandishwa kwenye gari na kupigwa mikanda...kama sikosei jina la polisi liliandikwa.Alexidilia ila sina uhakika kama nimelipatia.

Baada ya gari kuanza kuondoka nikaanza kuwambembeleza sana waniachie. Askari akaniomba rushwa ya sh.50000. Nikawaambia Nina shi.8000.wakadharau sana na safari ya kuelekea Polisi ikaanza huku nikielezwa kuwa mimi ni chadema na nimetumwa.. Dreva akaniambia hiyo kazi wao wametumwa na Maghufuli kwa hiyo watanionesha kazi

Kufanya story fupi nilipofika Pepsi wakawa wameniachia ila tayari mikanda nimekula.
Weka picha ukiwa unapigwa.....na ukome ndio nyie hata ikitokea ajali mnakimbilia kupiga picha badala ya kutoa msaada.....
 
Kingsharon92

JF-Expert Member
Aug 10, 2015
6,907
2,000
Wangekutengua kiuno kabisa unashindwa kuhangaika na maisha yako unakalia kupiga mapicha hovyo hovyo tu fanya yako mengine yapotezee
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom