Recent content by Ghosted

  1. Ghosted

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Kaka samsung crystal inches 55 mpka Dar ni bei gani kwa sasa???
  2. Ghosted

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    😂😂😂😂Kijiwe changu hikoo mkuu nikiwa dom hapo hasa chumba namba tano
  3. Ghosted

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi na wajuzi wa music system mbalimbali

    Sound bar ni tecnology mpya kwamba ni maboresho kutoka kwenye home theatre kwa hapo nakushauri beba hiyo sound bar. Pia Hometheater ina miwaya mingi sana hiko kitu kinanikera soon nachukua sound bar.
  4. Ghosted

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    😂😂😂mkuu umechomoaa hiyoooo 100k kwa usawa huu itoke chap siyo mchezoo
  5. Ghosted

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kujitathimi nimegundua haya

    Tayar hukooo.......
  6. Ghosted

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

    Ishapigwa panga hiyo haipo tenaaa
  7. Ghosted

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Etii harakati za pimbii daaah nimecheka sanaa aseew
  8. Ghosted

    JamiiForums Tanzania Tuweke ukweli hapa; nini hasa chimbuko la ugomvi wako na jirani yako?

    Daaaah wee jamaa ulifanya umafia wa hali ya juu aseee🙌🏿🙌🏿🙌🏿
  9. Ghosted

    JamiiForums Tanzania Tuweke ukweli hapa; nini hasa chimbuko la ugomvi wako na jirani yako?

    😂😂😂😂Uliwafanyajee mkuu???
  10. Ghosted

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuhonga na mwisho wa siku haukuambulia chochote?

    Last weekend ilikuwaa ijumaaa ileee nilikutana na katoto kamojaa ivii ka uswazi ila kasafi kazur tu nikachukua namba pale kila mtu akaendelea na safar zake Muda kidog nikaa mtxt nikampa mualiko wa Outin muda huo huo tutoke maana ilikuwa ijumaa akachomoa kwamb ndo anarud nyumbani hawez toka mpka...
  11. Ghosted

    JamiiForums Tanzania Bima ya mtoto wa mtumishi wa umma itasaidia matibu ya Moyo Taasisi ya Jakaya Kikwete?

    Kamaa bimaa ni ya mfanyakaz wa umma anayekatwa monthly kwenye mshahara bas ita cover mie nauguza bi mkubwa pale muhimbili anatumia dawa za cancer ni ghali mno ila anapata huduma japo kuna kibali kitatakiwa kukatwa kama garama za dawa na vipimo vitakuwa ghali sanaa Polee sanaa mkuuu Mungu...
  12. Ghosted

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushawahi kujutia kufanya mapenzi au kuwa na mahusiano na mtu? Sababu ilikuwa nini?

    Hizo ni dawa mojaa zote ni ARV ndo maana hata side effects anazopata ni zile zilee tuu
  13. Ghosted

    JamiiForums Tanzania Halotel Tanzania: Special Thread

    Hat Hata huku dar mkuu hali ni hiyo hiyo nina gb nying tu ila naishia kuingia jf tu insta haifungui kituu
  14. Ghosted

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuhonga na mwisho wa siku haukuambulia chochote?

    Kakaaa nimechekaa sanaa hii mbinu kali sanaa ya kivita
Back
Top Bottom