Halotel Tanzania: Special Thread

Kweli mkuu! Maana internet yao iko speed ile mbaya,na bando huwa halikai,line ya tigo nimeiweka banch,kwani hii ndo ipo slow sana kwenye internet hadi inaboa.
mkuu mi naona hii mitandao inategemea na mahali ulipo mimi nina line tatu yaan Tigo,vodacom na halotel.katika line zangu hizo yenye kasi zaidi ni (1) Tigo (2) Halotel (3)Vodacom .
 
Wiki ya 2 sasa nilinunua vocha ya elfu 5 bahati mbaya wakati nakwangua nilifuta namba kama 2.

Nikipiga customer care 100 simu inaita tu haipokelewi na haipikelewi.

Mtuambie kama mmeshafunga ofisi zenu nihesabu maumivu.

Nenda kwenye maduka Yao utapewa vocha nyingine
 
Kampuni ya Halotel Tanzania imeanza vema. Karibuni kwa maswali hoja kero ilituweze kujulishana kupashana hili na lile. Internet Complaint hapa utaelekezwa nini cha kufanya. Usisite kuuliza swali kero na admin watakusaidia.

Karibuni Sana
Internet sio nzuri kbs jirekebisheni, halafu mtu anaponunua kifurushi Cha 10,000 muda wa maongezi msitoe halotel kwa halotel tu ni vizuri sana muweke mitandao yote sio kumbana mtu. Ni hayo tu.

Sent from my Pace 2 Lite using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom