Recent content by GHOST RYDER

  1. GHOST RYDER

    AZAM TWO: Maisha Plus FAINALI LEO/30M za Nani?

    Amejitahidi sana yule binti Ngoja tusubiri saa 3 usiku
  2. GHOST RYDER

    AZAM TWO: Maisha Plus FAINALI LEO/30M za Nani?

    Watakuja tu baadaye hapa Mkuu wakujibu
  3. GHOST RYDER

    AZAM TWO: Maisha Plus FAINALI LEO/30M za Nani?

    Washiriki 16 waliongia hatua ya 16 Bora Leo wanachuana katika hatua ya Mwisho kutambua Nani ataibuka na shillingi Milioni 30: Azam TWO watakuwa live saa 3 Kamili Usiku Hebu tubashiri kidogo; japo haibadili kura maana Zilishafungwa Jana saa 6 usiku Wakatabah GR Unaweza kutazama live kupitia...
  4. GHOST RYDER

    Maisha Plus on Azam TWO; Laki yawatoa Vijana Jasho

    Task inayoendelea Sasa ni washiriki kuichukua sh.laki moja kwa mdomo. Mazoezi na Akili vinahitahika; big up kwa task ya Leo On AZAM TWO now Wakatabah Adios
  5. GHOST RYDER

    MAISHA Plus on Azam TWO: Mabinti 9 wakesha Mtini wakisaka 30M

    Diva: nahisi Mti Mkubwa ingekuwa rahisi zaidi maana rahisi kutengeneza pahala salama pa kulala kuliko huu kama unavyosema ambao hata matawi yake ni dhaifu kwa kuwa pia ulihamishwa na kupandikizwa hapo kama sijasahau. Ila Kile KiOlive kilikuwa juu kabisa ya Matawi
  6. GHOST RYDER

    MAISHA Plus on Azam TWO: Mabinti 9 wakesha Mtini wakisaka 30M

    Hakika Masoud Kipanya alichungulia mbali katika hili
  7. GHOST RYDER

    MAISHA Plus on Azam TWO: Mabinti 9 wakesha Mtini wakisaka 30M

    Naliona Hili katika jicho hilo na hapa ndo wale waliompa Bajaj yule mhanga wa Scorpion wanaweza kuwekeza kwa Rasilimali hii ilioonyesha Utayari wa kuyakabili Maisha kwa kila namna.
  8. GHOST RYDER

    MAISHA Plus on Azam TWO: Mabinti 9 wakesha Mtini wakisaka 30M

    Ilihitaji Moyo sana; Naitafuta hii Video ndo utaona uzito wa hili Tukio kabisa
  9. GHOST RYDER

    MAISHA Plus on Azam TWO: Mabinti 9 wakesha Mtini wakisaka 30M

    Mkuu; Milioni 30 Aisee maana Assignment ile katika hali ya kawaida si rahisi. Sikumbuki tukio hili lilitokea lini hivi karibuni zaidi ya lile la Miaka ya 80 ambalo liliigharimu kampuni ya Usafirishaji ya Born City baada ya kumshusha mama na Mtoto Serengeti na kulazimika kulala katika mti...
  10. GHOST RYDER

    MAISHA Plus on Azam TWO: Mabinti 9 wakesha Mtini wakisaka 30M

    MAISHA Plus on Azam TWO: Mabinti 9 wakesha Mtini wakisaka 30M Jana majira ya saa 3 usiku nikitazama mfululizo wa makala ya Maisha halisi kutoka Kijiji cha Maisha Plus kupitia Runinga ya Azam TWO nilijawa na mchanganyiko wa fikara kinzani huku roho ya imani na ghadhabu vikikinzana kwa wakati...
  11. GHOST RYDER

    Ukwepaji Kodi: Barua ya TRA kwa Bakhressa

    Acha Mihemko; soma Taarifa usipende unalotaka kulisikia ndo ulisome Mkuu
  12. GHOST RYDER

    Ukwepaji Kodi: Barua ya TRA kwa Bakhressa

    MTAZAMO Suala lipe muda Sina muda wa Porojo. Ndo maana nimekaa pembeni kusoma mihemko ya wanaFB waliotukimbiza humu. Hili nimelipenda kuweka in put yangu. Lipe muda utajua Porojo au Facts
  13. GHOST RYDER

    Ukwepaji Kodi: Barua ya TRA kwa Bakhressa

    Kontena Saga: Meneja wa ICD Afunguka Mazito GR na mtandao wake wote tutakuwepo hapa kwa Ukaribu wa majuma mawaili matatu hivi tukimulika sakata hili kwa umakini mkubwa na kusaka zilizofichika hadi mwisho wake kama ilivyo ada: Kulikoni? Siku chache baada ya kutiwa chini ya Mikono ya Sheria...
Back
Top Bottom