We are not the intelligent generation, angalia pyramids ndo ujue sisi ni bado Sana, we are not the happiest either, Kuna generation bora Sana zimepita kwenye uso huu wa Dunia na hawajaenda popote, we are just the comfortable generation na hapo ndo tutaishia. They have money to spend waache...
Wewe ndo uko brainwashed Sasa. Hizo movie, we know only 5% kuhusu Universe ndomana wanakuambia part kubwa ni Dark Matter sababu hawajui kitu, kwenye bahari tunajua 1% tu, sisi ni wa hapa hapa hizo kelele tu.
Kama kweli unafikiria sawasawa niambie kabla Lissu hajapigwa risasi na kuwa out of politics kwa mwaka,who was trending btn him and Zitto?
Ni muda tu mzee,this is his time,na yeye akinyamazishwa atakuja mwingine.
Unaoneakana unamjua sana Mungu mpaka limit ya uwezo wake unaijua.Unahisi ni kitu gani Mungu hawezi kufanya?Kumpa Suleiman uwezo wa kuongea na kuamrisha wanyama ndo hawezi?au kuna kingine?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hoja yako ina mashiko na inaweza kuwa 100%true,ila umekosea kutolea mfano Uganda,sio nchi ya kidemokrasia,Museveni ni dikteta hata kama ni Baba yako.Mtu akiwa dikteta anakuwa hana imani na watu wa karibu yake ndomana anabadilisha kila mara,na bila kufuata utaratibu,je angeachia nchi wakati wake...
Naelewa maana ya contradiction mzee ndomana nakuambia wewe ndo bado hujaelewa vema ndomana unaona kuna contradiction but every detail about Allah is plain to those who understand.
Mungu amekupa Utashi wote kama binadamu,ni kazi yako kuutumia kwa jinsi utakavyo either in a good way au in a bad...
Kwa sasa contradiction imebaki kwenye akili yako tu ndomana huna hoja ya kutetea uwepo wako.
Kazi imebaki kwako wewe kuiondoa ukishindwa basi bro,maybe you not as lucky as we are.
Utashi wako ni mdogo Kiranga we mbishi usiefikiria na comments naona huzielewi unataka kushinda.
Mi ninathibisha Mungu yupo kwa kukuumba wewe ambae hujui umefikaje hapa duniani.
Kama huamini niambie chanzo cha binadamu pamoja na ulimwengu ni nini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.