Jinsi Project ya Mbingu mpya na Nchi mpya itakavyotengenezwa na itakavyofanikiwa

Watu mnajua sana kuliwazana,sasa ni hivi,Binadamu afanye atakachokifanya ila atambue tu "KILA NAFSI ITAONJA UMAUTI",Hzo mission za sijui kuishi milele au sijui kupunguza watu mara kwenda kuishi angani,aisee hzo ni juhudi tu za binadamu kuukwepa ukweli halisi kwamba ipo siku atakata kauli atafukiwa chini ya udongo na baada ya muda atasahaulika kbs kama alikuwepo.
Mtoa mada wewe endelea kutazama movie sana maana unaonekana upo addicted sn na finctions ila tambua tu huyo aliyetuleta kupitia shahawa na yai la mama anasema Hakuna kinachopumua kikabaki hapa duniani,Kila kilichoumbwa kitakufa na kwake tutarejea ili tuambiwe yote tuliyokuwa tukiyafanya.Kuishi milele duniani au mars haipo kwenye mpango wa Muumbaji.
Haya maendeleo ya technology yapo na hatukatai ila ile kanuni ya binadamu kuonja umauti iko pale pale mkuu wala usijiliwaze kupitia akina Elon msk na hzo movie zako,ziko mission mzungu atafanikiwa ila kuna mission zitabaki hivyohivyo kuwa mission hazitafanikiwa kabisa ikiwemo hiyo ishu ya kuishi milele duniani au ktk sayar yyte hapa ulimwenguni.Hzo ni juhudi tu za kibinadamu kwamba anataka afikie pale au iwe vile,Kufa ni lazima mzee wewe mwenyewe hapo huna hata uhakika wa kuwepo dakika 30 zijazo
Wewe ni muoga tu wa kifo. Sijaona hoja yako.
 
MARS HAIWEZI KUWA MBINGU MPYA KWASABABU

1. kwenye dini zote inaaminika mbinguni kutakuwa na mito ya maziwa na asali. Kama tu maji kupatikana ni ishu sembuse wataweza kutengeneza flow ya maziwa iwe kama mto? Kama wataweza itawachukua miaka mingi sana zaidi ya unavyofikiria.
Maziwa na asali ni kwamba kuna mito ya maziwa na asali🤣🤣🤣🤣🤣🤣 AISEE.
 
Kutokujua yanayoendelea mkuu.. hapa watu hawajui kuwa sasa hivi kuna binadamu wanajaribu kupasua mwamba mkubwa huko anga za mbali kama majaribio ikitokea kuna mwamba ukaielekea dunia basi yasitokee yaliyowahi kutokea. HAWAJUI YAFANYIKAYO.
waafrika tulio wengi hata hatujui Dunia inaendeshwaje watu wapo field wanapiga kazi,watu tupo busy japo angalau tuwahabarishe ndugu zetu huku Afrika wajue Nini kinaendelea ila utakuta jitu Zima Tena jingine somi na liprofessor la Mwaka 70 Huko linakuja na ubishi wa kijinga hapa,Dunia inabadilika Kwa Kasi sana wao wakinywa Bia na kitimoto na kufuatilia Simba na Yanga + Siasa za kina
Lipumba & co waona ndio maishaaa kuja shtuka kumbe mchina katoa infinix nyingine Ngoja nikanunue niendelee kufuatilia ubuyu!
Shame!shame!shame!
 
waafrika tulio wengi hata hatujui Dunia inaendeshwaje watu wapo field wanapiga kazi,watu tupo busy japo angalau tuwahabarishe ndugu zetu huku Afrika wajue Nini kinaendelea ila utakuta jitu Zima Tena jingine somi na liprofessor la Mwaka 70 Huko linakuja na ubishi wa kijinga hapa,Dunia inabadilika Kwa Kasi sana wao wakinywa Bia na kitimoto na kufuatilia Simba na Yanga + Siasa za kina
Lipumba & co waona ndio maishaaa kuja shtuka kumbe mchina katoa infix nyingine Ngoja nikanunue niendelee kufuatilia ubuyu!
Shame!shame!shame!
Giza.. tupo nyuma sana.
Ikitokea mmarekani au mwingereza kwa kutumia tecknolojia akaja kama YESU alivyoandikwa kwenye biblia kuna watu watamwabudu.
 
Mzuka wanajamvi wa JT na great thinkers natumaini mpo powa na tunaendelea kusurvive chini ya jua,
Husika na kichwa habari hapo juu,
Kwanza nipende kutoa onyo na tahadhari Kwa kundi Fulani Hivi la brain washed wakae Mbali na hii thread sababu itakua nje ya uwezo wao,ili tujadili mahaba ya Dini tuweke pembeni tuwe free kujadili mambo magumu na yenye ukweli mchungu ambao raia wengi hawaupendi
Ila Haina namna!
Nitaagusia kifupi sana hasa Kwa wavivu kusoma!

1.MBINGU MPYA
Wakuu Binadamu na watu wa Civilization hii wanapiga hatua kubwa kimaendeleo sayansi na teknolojia tunaona projects nyingi zinavumbuliwa Kila kukicha yaani tunaenda spidi ya kimbunga kwenye gunduzi kiasi kwamba tumefika level za kuprint watu,
Hapa namaanisha watoto wanafyatuliwa maabara nk,
Sasa Kuna hii project ya kufanya majaribio kwenye sayari ya Mars na kinara wa hiyo kazi ni ndugu Elon Musk na kampuni yake ya space x na tunaona jinsi inavyofanikiwa kwa Kasi ni kama ndoto za alinacha ila ndio hivyo inaenda kua kweli,
Baada ya hapo huko yataenda kujengwa makazi ya kisasa na raia grade one wataanza ishi huko na kuibadilisha sayari ya vumbi jekundu na miamba kua paradise,
Imagine jinsi lile jangwa la Dubai Miaka 20 iliyopita lilivyogeuzwa Jiji kubwa na lenye madhari ya kuvutia kiasi kwamba Leo mlugaluga akifika pale na kumwambia hapa palikua jangwa na eneo baya lisilifaa binadamu mwenye akili timamu kuweka makazi ataeweza akuzibue konzi Kwa ujuha wako unaomwambia maana aonacho ni maghorofa makubwa na mabustani mazuri ya kuvutia.

Sasa basi baada ya raia wa grade one kuhamishia makazi sayari ya Mars na
Kujenga mithili ya masimulizi ya Mbingu watu wa grade la chini Kama sisi huku Afrika tutaenda kutengeneza Hadith ya Mbingu mpya maana tutakua hatuna uwezo wa kufika huko sehemu yenye ustaarabu mkubwa na maisha ya Raha za ajabu pasipo dhiki maana huko Kila kitu kitaendeshwa Kwa ujuzi wa Hali ya juu kutokana na kukua Kwa science and technology Kwa kiwango Juu Cha mno!

Dunia itabaki sehemu ya mkakati maalumu na watakao Baki wale useless hakuna kitu watafanya zaidi ya kuleta shida kubwa na kuanza kufanya maasi wao Kwa wao na hakuna mtu atajali kuhusu hizo vurugu maana Kila kitu kitajiendea hovyo kutakua hakuna uongozi wa kidunia Kama ilivyo Leo UN na mataifa ya kuiongoza Dunia Ili ikalike hapo Kila mjuaji atafanya ajuavyo na Dunia itaharibika kabisa kwa uharibifu mkuu,
Ila kuna maeneo ya kimkakati yatatunzwa vizuri for future use
Baada ya yote hayo itapendekezwa raia wa Duniani wapunguzwe kabisa Kwa mbinu mbadala wabaki guardian wa kuitunza dunia na nature yake na itakua baadae salama na ni sehemu ya kutalii tu Tena Kwa gharama kubwa watu wakitoka mars huko wataona wamechoshwa na kuishi kwenye miji ya ajabu ya huko angani wakivutiwa na hali ya duniani.

2.NCHI MPYA
Baada ya sayari ya mars na wakazi wake kuchoshwa kuishi kwenye artificial Planet watatamani Sasa warudi kuishi duniani baada ya miaka mingi kupita,vuguvugu za Exodus zitaanza na wanaharakatj wengi watajitokeza kupigania kuirudia nchi mpya ya mababu zao na hapo utaandaliwa mpango maalumu wa kurejea wenye masharti magumu maana Dunia itakua Tena Kama bustani nzuri Sana na ya kuvutia na watakao kurudi watatakiwa kukidhi vigezo maalumu maana ni sehemu yenye uasili na Kwa gharama kubwa watakao kidhi vigezo watarudi na kuishi kwenye Asili Yao Kwa Raha Sana maana Dunia itakua pepo milele na hakuna shida Tena Kwa sababu watakua wamefanikiwa kubalance nature.

Yajayo yanafurahisha hii Dunia watu wanakaa Wana program namna ya kuiendesha ila sababu sisi huku tunakula makande na kuwaza ngono
Haya mambo yanakua Kama masimulizi ya Alfu lela ulela,
Ila sishangai maana ukirudi miaka 1500's na umwambie Vasco da Gama kwamba kutoka Portugal to India tunatumia masaa tu kufika anaweza kukushut Kwa revolver yake Kwa porojo zako ila uhalisia tunaujua!
Tuwe tayari Kwa mabadiliko muda wowote Dunia inaenda Kasi Sana!

The Terrible!
Huo ni mpango wa yule Lucifer ambapo hatafanikiwa na hata hivyo itoshe kusema kuwa anang'ang'ana kuzidi kuwapatia wafuasi wake maarifa ya juu kiakili lakini ndiyo kwaaanza wameshafikia 50% tu ya matumizi ya ubongo wa Binadamu alioumbiwa na Mungu.

Sasa ikiwa dunia imeshachukua takribani zaidi ya miaka billions ndipo hao freemasons wamefanikiwa kutumia 50% tu ya ubongo kiakili kwa usahihi wake, kwanini usichague fungu jema pekee la kumuabudu na kumtumikia Mungu muumba mbingu na nchi, muumba viumbe hai/visivyo hai, na viumbe vinavyoonekana/ visivyoonekana?

Au hujui Mungu ni zaidi ya yote katika yote na juu ya yote duniani na hata mbinguni?
 
hizo after life ni porojo tu watu wenye akili zao wanafanya tafiti za kufa mtu Ili kuweza pandikiza seli kwenye miili ya watu Ili wawe immortal wewe unazungumzia kufa?
Hiyo ya kufa huko future itaenda kua masimulizi kwamba Kuna watu walikua wanakufa
Hahhahaa ni kama masikhara ila yajayo yanafurahisha!
Wewe ndo uko brainwashed Sasa. Hizo movie, we know only 5% kuhusu Universe ndomana wanakuambia part kubwa ni Dark Matter sababu hawajui kitu, kwenye bahari tunajua 1% tu, sisi ni wa hapa hapa hizo kelele tu.
 
Watu wengi kama mleta uzi huwa wanajiua. Na hiyo ni kwasababu ya kuamini mambo kama hayo na kujiona hawana thamani maishani, wakiamini dunia si sehemu salama kabisa.

Haya madude huwa nayasoma kujifurahisha tu, mengi ni uongo tu. Kuyaamini ni kujipa stress na kuona haupo salama kabisa ilhali usalama unao.
 
😂😂😂😂
 
Wewe ndo uko brainwashed Sasa. Hizo movie, we know only 5% kuhusu Universe ndomana wanakuambia part kubwa ni Dark Matter sababu hawajui kitu, kwenye bahari tunajua 1% tu, sisi ni wa hapa hapa hizo kelele tu.
hahahahaha yaani hiyo takwimu ya kuhusu bahari wamekupa wao na wewe ukaamini,kiufupi hawawezi kuweka wazi Kila kitu ukijue
Wamekupumbaza Kwa hiyo 1%
Wakati wao washaichunguza Kwa 50%
Wewe umekomaa na Moja wao wanapiga tukio ukija stuka umechelewa Hii Dunia haipo Kama unavyoaminishwa wewe Aisee Kila kitu kina behind the scene!
Elewa hivyo vitu unavyoviona katika uhalisia Ni asilimia chache ya vile vingi vinavyoendeshwa katika dark power!
 
Huo ni mpango wa yule Lucifer ambapo hatafanikiwa na hata hivyo itoshe kusema kuwa anang'ang'ana kuzidi kuwapatia wafuasi wake maarifa ya juu kiakili lakini ndiyo kwaaanza wameshafikia 50% tu ya matumizi ya ubongo wa Binadamu alioumbiwa na Mungu.

Sasa ikiwa dunia imeshachukua takribani zaidi ya miaka billions ndipo hao freemasons wamefanikiwa kutumia 50% tu ya ubongo kiakili kwa usahihi wake, kwanini usichague fungu jema pekee la kumuabudu na kumtumikia Mungu muumba mbingu na nchi, muumba viumbe hai/visivyo hai, na viumbe vinavyoonekana/ visivyoonekana?

Au hujui Mungu ni zaidi ya yote katika yote na juu ya yote duniani na hata mbinguni?
acha porojo bwana mkubwa hiyo mbingu umewahi fika na huyo Mungu wenu mmewahi muona zaidi ya hekaya za wayahudi,Waarabu na wagiriki wa kale?
 
hahahahaha yaani hiyo takwimu ya kuhusu bahari wamekupa wao na wewe ukaamini,kiufupi hawawezi kuweka wazi Kila kitu ukijue
Wamekupumbaza Kwa hiyo 1%
Wakati wao washaichunguza Kwa 50%
Wewe umekomaa na Moja wao wanapiga tukio ukija stuka umechelewa Hii Dunia haipo Kama unavyoaminishwa wewe Aisee Kila kitu kina behind the scene!
Elewa hivyo vitu unavyoviona katika uhalisia Ni asilimia chache ya vile vingi vinavyoendeshwa katika dark power!
We are not the intelligent generation, angalia pyramids ndo ujue sisi ni bado Sana, we are not the happiest either, Kuna generation bora Sana zimepita kwenye uso huu wa Dunia na hawajaenda popote, we are just the comfortable generation na hapo ndo tutaishia. They have money to spend waache wapambane.
 
hizo after life ni porojo tu watu wenye akili zao wanafanya tafiti za kufa mtu Ili kuweza pandikiza seli kwenye miili ya watu Ili wawe immortal wewe unazungumzia kufa?
Hiyo ya kufa huko future itaenda kua masimulizi kwamba Kuna watu walikua wanakufa
Hahhahaa ni kama masikhara ila yajayo yanafurahisha!
Nakumbuka zamani wakubwa waliniambia... Ukiona MTU kashika sigara mbele kubwa afu nyuma nyembamba... Kimbia... Kwa sababu inachukua miaka sabaa (7) kuondoka kwenye kichwa ya MTU.. Na hiyo ni pafu moja,
 
Hiyo ni kamba mkuu
Hii ni kamba Kwa watu wajinga wasiopenda kushuhurisha bongo zao timamu wapate maarifa mapya,
Hebu subiri project ya
Artificial intelligence (AI)
Ya Elon musk
Ikamilike vizuri halafu uone maajabu yake jinsi Gani unafanya kazi,wewe umekalia ubishi hapa
Wakati watu wanaenda kuunganisha mfumo wa ubongo na computer mtu ukiwa na gari lako la kisasa unaweza kuliwasha Kwa kutoa rock na password Kwa kufikiria tu gari inawaka yenyewe Kwa kusensor kama Bluetooth vile,Hii Dunia wanaume wapo kazini acha sisi tuendelee kubishana hapa nyuma ya keyboard!
😁😁
 
Kwann? Mbona watu wanakaa hewani uko pasipo na oxygen miezi na miezi? Na curiosity ipo kule inapiga picha ina maana kunafikika.
Kufika na kuishi ni vitu viwili tofauti, unafika sawa lakini baada ya kufika wanaishiji hao watu katika mazingira gani kukabiliana na hali ya huko. Je mazingira hayo yatawezesha kundi kubwa la watu kuishi kwa muda mrefu? Au wanafika wakiwa na vifaa maalumu na wezeshi kwa mazingira hayo in a limited period of time.
 
Space station unajua wanakaa muda gani huko ndo wanashuka?
 
Back
Top Bottom