Recent content by ghambemeda

  1. G

    Nina dhambi nyingine sio uzinifu

    Huyu jamaa bado hajafunga ndoa,ss amejuaje ni bikra! Au nyie hamjaelewa? Kuwa wazi kihana,
  2. G

    Kwanini Nyerere hakumkubali Lowassa?

    Bila shaka wewe ni mwehu,unaambiwa mtu ananunua ranch za taifa kwa majina ya familia ili asijulikane,we unakomaa tu,ccm wakimchagua tu lowassa,imekula kwao,chadema wataanza kwenye nywele hadi kwenye kucha kuweka wazi uovu wake,
  3. G

    Tb Joshua: Kuna ndege ilizunguka jengo mara nne

    So,unawakubali wachawi na waganga wa kienyeji sio!!
  4. G

    Wewe mwana jf unayetafutwa,waambie unapatikana wapi? Na jina lako kamili ni nani?

    Maneno huumba,utakufa kweli,chezea mdomo weye!!!
  5. G

    Maajabu: Kutana na mwanaume aliyetembelea mbinguni mara nne na kuchora ramani

    Hakuna mtu alienda mbinguni katika mwili,isipokuwa enzi za eliya,na kipindi atakapokuja mwana wa adamu,
  6. G

    Wadada kuweni na huruma: Mchepuko atafuna kiinua mgongo chote cha NSSF

    Unajua wanajf kuna vitu vingine mnabidi mjifunze,kuna kitu kinaitwa laana,nini maana yake,laana ni kutokuendelea,kutokuongezeka,nk,laana inaletwa na dhambi,na shetani amepewa ruhusa kukustopisha,na ndio maana mtu anafanya jambo baadae anashangaa kwanini hilo jambo limetokea? Sio jambo la...
  7. G

    Basi la Air Bus kutoka Dar es Salaam Kwenda Tabora limepata ajali

    Wewe uko dunia ip? Kafara ipo,mungu anasema hakuna kifo cha ghafula,katika ulimwengu wa roho kuna sherehe kwa ajili ya damu za watu,taarifa kamili ni watu 5,
  8. G

    Bunge la EAC lavunjika Dar es Salaam

    Nami naunga mkono,hivi kweli mtu anashindwa kuandika gharama,badala yake anaandika ghalama,najua kwa kutamka ni ishu,je kuandika?
  9. G

    CHADEMA Mara yasitisha ziara mkoa mzima

    Poleni wafiwa,Bwana Yesu awatie nguvu,hiyo ni ajali mbaya kabisa,ajali kama hizo utakuta watu 3au2 wa familia 1,wamefariki,inauma sana, shetani yuko kazini,tunanguvu ya kumzuia kwa maombi,hakikisha unaposafiri vunja roho ya mauti kwa jina la yesu,pangua mitego yao,nia zao,roho za ajali, baada ya...
  10. G

    Mwanamke akikujibu SMS yako hivi acha haraka sana kuchat nae

    C utafute za kwako kwanini uwe kupe?
  11. G

    Kumwaga nje mbegu za kiume wakati wa tendo (withdraw) na uwezekano wa kupata mimba

    kumbe kuna watu wamekomaa humu jf,umejibu vyema,kweli kabisa mara moja tu,mkojo pekee ndio unatoa mbegu zinazobaki njiani,
  12. G

    Mfanyabiashara maarufu Arusha Olais Metili afia guest

    We ndio,hujui mzungu anakodisha,
  13. G

    Mfanyabiashara maarufu Arusha Olais Metili afia guest

    Huyu mzee alikuwa mtu mkubwa jeshini enzi za mwalimu,kanali,
Back
Top Bottom