Recent content by Gfav

  1. Gfav

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kuwataja watu wa ovyo sana Mwaka 2022. Wajirekebishe

    Wewe ni mtu wa hovyo sana, hao uliowataja ni kati ya watu wa maana sana humu, utakuwa mtu wa hovyo. Wivu na fitina sana.
  2. Gfav

    JamiiForums Tanzania BASATA, kosa la Dulla Makabila ni lipi akionesha Mchungaji akihukumiwa kwenda moto wa milele?

    Actually maandiko ndo yanasema kuwa wachungaji wataachwa
  3. Gfav

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tangu nipatwe na Matatizo kazini, mke wangu amebadilika tabia

    Utapata shida sana: Mwanamke atazaa kwa uchungu. Mwanaume atakula kwa jasho. Ingawa mke wako kazidi, lakini nataka ujue hakuna mwanamke atakaye mvumilia mwanaume anayeshinda home na kufanya kazi za House girl.
  4. Gfav

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu mchafu, nimeongea nimechoka

    Ungetushirikisha wakati unamuoa. Mda huu tungekuwa na cha kuchsngja
  5. Gfav

    JamiiForums Tanzania Tunaokwenda usiku huu Dodoma tupite Didz, Starpark, Samaki Morogoro, ntakuwepo sehemu zote

    A very proper definition ya mtu mshamba
  6. Gfav

    JamiiForums Tanzania Huu mwezi mahusiano mengi yanaenda kuvunjika

    Ugomvi wa waarabu na Taifa teule la Mungu chanzo chake ni nyuchi, Nyuchi ni chanzo cha anguko la mtu yeyote.
  7. Gfav

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Mimi ni mwalimu nimepatwa na majaribu nashindwa nivuke vipi

    Nafikiri hausemi ukweli. Sema ukweli ushauriwe vizuri, ugonjwa kama huo unaeleweka
  8. Gfav

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa dunia ya leo, sishauri mwanaume aoe mwanamke asiyekua na elimu ya walau diploma

    He he he, utakuwa below 30 yrs
  9. Gfav

    JamiiForums Tanzania Kwa wale WordPress site developers: Plugin inayoweza kutoa na kupokea pesa Mpesa/AirtelMoney Imekamilika

    You need to explain more, unajali sana kuuza mpaka unasahau kutoa maelezo kwa wateja makini ya kutosha. Hii software may be ni nzuri, ila improve na jipande kuielezea, unaielezea kirahisi sana. Ngumu sana kupata watu serious.
  10. Gfav

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchunguzi wabaini mchezo mchafu wanandoa ajali ya gari kutekea moto

    He
  11. Gfav

    JamiiForums Tanzania Huenda ya Ben Rabiu Saanane ni kama ilivyokuwa kwa Joyce Carol Vicent?

    Ukiwa hujui maisha ya wengine, usihoji ukifananisha na ya kwako
  12. Gfav

    JamiiForums Tanzania Tunataka kuishitaki wizara ya afya, nisaidieni kujua kampuni nzuri ya mawakili

    Watachana nyavu? Haya ndo majibu mepesi ya proffesionals wa Tanzania, ujapafa hata fact moja ya kesi, ushaahidi uahindi?
Back
Top Bottom