Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 3,824
- 5,812
Mkuu kazi safi lakini kikawaida unapotoa bidhaa inatakiwa ufocus zaidi kwenye bidhaa kwanza na kuisifia bidhaa kwa tips na hints ndogo ndogo kwa kiasi za kumuachia mteja maswali ili awe more interested na ukizidisha Clients wataanza kutilia mashaka.
Kuhusu wewe hiyo itakuja baadae baada ya bidhaa kufanikiwa kwenye industry.
Zaidi ya hapo hii promo imetisha na kazi imetulia bila shaka.
Kuhusu wewe hiyo itakuja baadae baada ya bidhaa kufanikiwa kwenye industry.
Zaidi ya hapo hii promo imetisha na kazi imetulia bila shaka.