Recent content by Gezuz

  1. Gezuz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania USHAURI: Simuelewi mume wangu

    Hiyo tabia ya mumeo niko nayo mimi A to Z, Tatizo ni wewe na makwazo yako(bila shaka mumeo ni mkimya) ila wewe una mdomo sana lakini pia una choyo na mbinafsi yaani humsaiidii kwenye Mambo ya familia yenu( kipato chako ni chako tu ila chake unakitolea macho) yaani hushiriki kwenye ujenzi wa...
  2. Gezuz

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

    Hii picha imeanza kuongea hususani mstari wa mbele, It means anayefuata ni.........!!
  3. Gezuz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki anahitajika

    PM pls!
  4. Gezuz

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Madrid ataharibu shughuli
  5. Gezuz

    JamiiForums Tanzania Dkt. Philip Mpango: Narudi kuchapa kazi, Mungu amenivusha. Leo siku ya 3 sijatumia mtungi wa Oxygen

    Daaaaah Mungu aibariki sana familia yako......hii kauli yako ya kishujaa ikusaidie maisha yako yote
  6. Gezuz

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Kwa mahitaji ya mashamba(Kisarawe) na viwanja vya bei nafuu kabisa kwa Dar (Chanika) karibuni.
  7. Gezuz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushuhuda kutoka kwa wanandoa waliowahi kuachana, hasa mliokuwa na watoto mkaamua kuacha kila kitu na kuanza upya

    Huo ni msalaba wako na sharti uufikishe Goligota
  8. Gezuz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu msichana vipi?

    Shida yake ni kuwa mama mwenye gari
  9. Gezuz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I am looking for a Husband

    Jina lako zuri sana
  10. Gezuz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina jinsia mbili, natafuta mpenzi

    Huu uzi bado upo hai tu?
  11. Gezuz

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kufunga tena duka langu moja la simu za Jumla Kariakoo

    Kama nawaona watoto wa kike watakavyojazana huko PM Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Gezuz

    JamiiForums Tanzania Shambulizi la Lissu: Je, risasi ikipigwa toka upande wa kushoto haiwezi kuathiri kiungo kilichoko upande wa kulia?

    Cha ajabu na cha kushangaza comment yako ya leo imekuwa ni kinyume kabisa cha mabandiko yako karibu yote na ndio sababu nikataka kujua hii imesababishwa na kitu gani kwani si jambo la kawaida, unahoji kitu ambacho hakina mantiki kabisa huku kwa bahati mbaya au makusudi ukishindwa kuhoji yale...
  13. Gezuz

    JamiiForums Tanzania Shambulizi la Lissu: Je, risasi ikipigwa toka upande wa kushoto haiwezi kuathiri kiungo kilichoko upande wa kulia?

    Hata wewe? daaaaah ndomana mkulu alisema mayalla kwao ni njaa.....hakukosea!! Wewe kama mwandishi ni jukumu lako kutafuta taarifa za ziada kuhusu tukio lile badala ya kuendelea kutuhoji sisi raia wa kawaida,hujui kuwa hiyo ni moja ya wajibu katika majukumu yako? Mkiambiwa waandishi wa habari...
  14. Gezuz

    JamiiForums Tanzania Shambulizi la Lissu: Je, risasi ikipigwa toka upande wa kushoto haiwezi kuathiri kiungo kilichoko upande wa kulia?

    Mtu hujawahi hata kutumia manati,na hujui chochote kuhusu siraha hususan bunduki zaidi ya kuziona zile toys kwenye movies Ila mtu bado ana jifanya anajadili maswala ya namna bunduki ilivyotumika, kama sio umbeya ni kitu gani? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Gezuz

    JamiiForums Tanzania Natafuta binti mwenye ujuzi na kazi za saloon

    Ngoja nimshtue dada flan hivi ila hujasema ni saloon ya kike au kiume? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom